Ukikaa ni surualiHiyo bukta au suruali
Hahaha noma sanaUkikaa ni suruali
Ukisimama ni bukta
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mbona huyo Ngedere ngabu hajajitokeza[emoji2] [emoji2] [emoji2]Hahaha noma sana
Kapotezea [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mbona huyo Ngedere ngabu hajajitokeza[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ni Arusha siyoMitaa ya ungaleloo[emoji28]
Inaelekea unamfahamu sanaNa alivo sharobaro wa kisukuma sasa
Kwani hiyo picha si umempiga wewe?Si picha inajieleza jamani!
Teh teh teh teh hivi ni kweli ndiyo uvaaji wake huo