KIBESENI
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 340
- 268
Salaam wajuzi wa mambo.
Nimemaliza kidato cha nne, nina kiswahili C, English C, chemst D, biology C. mengine nimefeli yaani F.
Lakini natamani kuwa hakimu, naomba kuuliza kwa ufaulu huu naweza kusomea sheria niwe hakimu, na kunakuwaga na chuo cha mahakimu kweli, na sifa zakujiunga na chuo hicho ni zipi? tafadhari help me!