Mkuu unataka Parapanda ilie nini? Angalia usije kwenda kumlaki bwana yesu mawinguni.Wakuu nimemaliza leo dozi ya malaria mseto ALu sasa hapa moja haikai wala mbili najuta sana kutumia hii dozi msimu wa sikukuu. Nimemalizia vidonge vinne leo asubuhi sasa wakuu vipi nikizama maeneo leo usiku au Kesho nikagonga gonga hivi vi serengeti lite au Castle lite kuna shida??? hali ya kiafya sio mbaya kabisa meaning naendelea na pilika za kuandaa sikukuu nishaurini wakuu
Mkuu mimi sio mtaalamu,ngoja wataalamu waje watakupa ushauri.Mpaka lini sasa boss
Fragile niliambiwa ni mbaya sana hio mkuu siwezi ata kuitumia mana kuna point naweza kujisahau nikakata maji halafu afu nikakata na moto pia hio dawa apanaKuna mwaka nilikuwa nasumbuliwa na uvimbe was jino,Basi jioni nikapiga fragily(metronidazole).
Kesho yake nikapiga kilaji,,,,nusra niage dunia,unatapika Hadi nguvu za kutembea zinaisha
Kaka umenipa moyo aseeWewe hata kuanza hujaanza..mimwenzio hapa naenda bia ya 3,wakati saa 2 asubuhi nilimalizia dozi ya Cyprofloxin
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uroho wa bia wewe hizo dawa zinakaasiku 7 mwilini.japo haina madhara ukinywa pombe ila ujue ndo umeuwa nguvu yote ya dawa.Wakuu nimemaliza leo dozi ya Malaria Mseto. Sasa hapa moja haikai wala mbili najuta sana kutumia hii dozi msimu wa sikukuu.
Nimemalizia vidonge vinne leo asubuhi sasa wakuu vipi nikizama maeneo leo usiku au kesho nikagonga gonga hivi viserengeti lite au Castle lite kuna shida?
Hali ya kiafya sio mbaya kabisa meaning naendelea na pilika za kuandaa sikukuu.
Nishaurini wakuu.
Usimfuatishe, wewe subiri angalau hadi JumamosiKaka umenipa moyo asee