S skills man Senior Member Joined Nov 10, 2024 Posts 175 Reaction score 437 Jan 30, 2025 #1 NIMELIWA MILLION 2 KWENYE AVIATOR
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,809 Reaction score 86,650 Jan 30, 2025 #2 Wewe ni zwazwa
Ausar JF-Expert Member Joined Mar 19, 2021 Posts 2,830 Reaction score 4,330 Jan 30, 2025 #3 Karibu tucheze dubwi la wananchi
ZVI ZAMIR JF-Expert Member Joined Jun 23, 2015 Posts 1,308 Reaction score 3,222 Jan 30, 2025 #5 skills man said: NIMELIWA MILLION 2 KWENYE AVIATOR Click to expand... Kama uliipata hiyo M2 nje ya huo mchezo polee.. Huo mchezo wengi mnaliwa kwasababu ya tamaa
skills man said: NIMELIWA MILLION 2 KWENYE AVIATOR Click to expand... Kama uliipata hiyo M2 nje ya huo mchezo polee.. Huo mchezo wengi mnaliwa kwasababu ya tamaa
ELI COHEN JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 9,467 Reaction score 28,912 Jan 30, 2025 #6 realMamy said: 😳 Click to expand... Hi love🥰
S skills man Senior Member Joined Nov 10, 2024 Posts 175 Reaction score 437 Jan 30, 2025 Thread starter #7 KENZY said: Wewe ni zwazwa Click to expand... Tamaa nimejifunza
H Hubble Telescope JF-Expert Member Joined Jan 30, 2025 Posts 426 Reaction score 546 Jan 30, 2025 #8 skills man said: NIMELIWA MILLION 2 KWENYE AVIATOR Click to expand... Kile ki ndege ni kama jini
S skills man Senior Member Joined Nov 10, 2024 Posts 175 Reaction score 437 Jan 30, 2025 Thread starter #9 ZVI ZAMIR said: Kama uliipata hiyo M2 nje ya huo mchezo polee.. Huo mchezo wengi mnaliwa kwasababu ya tamaa Click to expand... Apana ni ya kwangu
ZVI ZAMIR said: Kama uliipata hiyo M2 nje ya huo mchezo polee.. Huo mchezo wengi mnaliwa kwasababu ya tamaa Click to expand... Apana ni ya kwangu
ELI COHEN JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 9,467 Reaction score 28,912 Jan 30, 2025 #10 skills man said: Tamaa nimejifunza Click to expand... Pole mkuu. Kama una addiction ya kubet. Seek help
skills man said: Tamaa nimejifunza Click to expand... Pole mkuu. Kama una addiction ya kubet. Seek help
S skills man Senior Member Joined Nov 10, 2024 Posts 175 Reaction score 437 Jan 30, 2025 Thread starter #11 Hubble Telescope said: Kile ki ndege ni kama jini Click to expand... Tamaa yaan DAH lilimake hii ela mda
Hubble Telescope said: Kile ki ndege ni kama jini Click to expand... Tamaa yaan DAH lilimake hii ela mda
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,809 Reaction score 86,650 Jan 30, 2025 #12 skills man said: Tamaa nimejifunza Click to expand... kusikia kwa kenge mpk damu ikutoke puani na masikioni
skills man said: Tamaa nimejifunza Click to expand... kusikia kwa kenge mpk damu ikutoke puani na masikioni
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,828 Reaction score 9,649 Jan 30, 2025 #13 Hongera kwa kijitambua
S skills man Senior Member Joined Nov 10, 2024 Posts 175 Reaction score 437 Jan 30, 2025 Thread starter #14 Eli Cohen said: Pole mkuu. Kama una addiction ya kubet. Seek help Click to expand... Kweli Nina addiction
Eli Cohen said: Pole mkuu. Kama una addiction ya kubet. Seek help Click to expand... Kweli Nina addiction
D def_xcode JF-Expert Member Joined Jul 25, 2023 Posts 2,552 Reaction score 6,817 Jan 30, 2025 #15 skills man said: NIMELIWA MILLION 2 KWENYE AVIATOR Click to expand... Usijali mkuu kawaida hiyo.... usikate tamaa pambana utakanasa kandege siku moja hata uzeeni.
skills man said: NIMELIWA MILLION 2 KWENYE AVIATOR Click to expand... Usijali mkuu kawaida hiyo.... usikate tamaa pambana utakanasa kandege siku moja hata uzeeni.
Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 19,152 Reaction score 43,113 Jan 30, 2025 #16 Pesa ni ngumu sana kuipata lakini ni rahisi sana kuipoteza
S skills man Senior Member Joined Nov 10, 2024 Posts 175 Reaction score 437 Jan 30, 2025 Thread starter #17 KENZY said: kusikia kwa kenge mpk damu ikutoke puani na masikioni Click to expand... Mapito🙏
Njemba Soro. JF-Expert Member Joined Oct 5, 2013 Posts 4,282 Reaction score 7,453 Jan 30, 2025 #18 Haya.... Tuma salami kwa watu 2.
S skills man Senior Member Joined Nov 10, 2024 Posts 175 Reaction score 437 Jan 30, 2025 Thread starter #19 Manyanza said: Pesa ni ngumu sana kuipata lakini ni rahisi sana kuipoteza Click to expand... Mapito🙏
ELI COHEN JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 9,467 Reaction score 28,912 Jan 30, 2025 #20 skills man said: Kweli Nina addiction Click to expand... Tafuta msaada ndugu. Consider other options kama video games itakutoa katika mtego huo Utafirisika vibaya mno.
skills man said: Kweli Nina addiction Click to expand... Tafuta msaada ndugu. Consider other options kama video games itakutoa katika mtego huo Utafirisika vibaya mno.