FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 41,025 Reaction score 47,130 Dec 24, 2014 #1 Ashukuriwe aliegundua alcohol.., feels really.., haya tule ujana sasa..
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,485 Dec 25, 2014 #2 Na kweli umelewa!! Angalia tu isije ikawa siku yako ya mwisho kulewa maana leo mambo mengi so BE CAREFUL. Kama inawezekana LEWA RESPONSIBLY.
Na kweli umelewa!! Angalia tu isije ikawa siku yako ya mwisho kulewa maana leo mambo mengi so BE CAREFUL. Kama inawezekana LEWA RESPONSIBLY.
Binti Magufuli JF-Expert Member Joined Apr 2, 2011 Posts 7,479 Reaction score 5,161 Dec 25, 2014 #3 Badala ya kushukuru na kutumia hiyo hela km sadaka coz umebakiza siku 6 kuuona mwaka mpya wewe unaamua kulewa?? Uamuzi ni wako chaguo ni lako
Badala ya kushukuru na kutumia hiyo hela km sadaka coz umebakiza siku 6 kuuona mwaka mpya wewe unaamua kulewa?? Uamuzi ni wako chaguo ni lako
wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,209 Reaction score 37,871 Dec 25, 2014 #4 FRANCIS DA DON said: Ashukuriwe aliegundua alcohol.., feels really.., haya tule ujana sasa.. Click to expand... Angalia usilewe ukapitiliza ukagegedwa na wahun hapo!!
FRANCIS DA DON said: Ashukuriwe aliegundua alcohol.., feels really.., haya tule ujana sasa.. Click to expand... Angalia usilewe ukapitiliza ukagegedwa na wahun hapo!!
M mkagulu original JF-Expert Member Joined Dec 30, 2013 Posts 703 Reaction score 172 Dec 25, 2014 #5 Mrembo by Nature said: Badala ya kushukuru na kutumia hiyo hela km sadaka coz umebakiza siku 6 kuuona mwaka mpya wewe unaamua kulewa?? Uamuzi ni wako chaguo ni lako Click to expand... kumbe kuuona mwaka mpya kuna faida! Dah me sikujuwa! kweli hii ni jf!
Mrembo by Nature said: Badala ya kushukuru na kutumia hiyo hela km sadaka coz umebakiza siku 6 kuuona mwaka mpya wewe unaamua kulewa?? Uamuzi ni wako chaguo ni lako Click to expand... kumbe kuuona mwaka mpya kuna faida! Dah me sikujuwa! kweli hii ni jf!
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,085 Dec 27, 2014 #6 FRANCIS DA DON said: Ashukuriwe aliegundua alcohol.., feels really.., haya tule ujana sasa.. Click to expand... Nina hakika hujalewa FRANCIS DA DON Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
FRANCIS DA DON said: Ashukuriwe aliegundua alcohol.., feels really.., haya tule ujana sasa.. Click to expand... Nina hakika hujalewa FRANCIS DA DON