Nimeletewa mchumba na wazazi wangu, nimemzidi miaka 14

Mbona mimi nimemzidi miaka 12 na yuko poa tu, Inategemea feelings zako kwake na maongezi yenu kama yanaendana. Uzuri ni kuwa huyu jamaa nae amehanja na amekutana na mizuka mingi ya mapenzi na yeye ameamua kutulia.
 
Usingeweza kumzaa. Sioni ubaya japo sina uhakika ukikaa naye mazungumzo yenu mnazungumzia nini.
 
Mbona mimi nimemzidi miaka 12 na yuko poa tu, Inategemea feelings zako kwake na maongezi yenu kama yanaendana. Uzuri ni kuwa huyu jamaa nae amehanja na amekutana na mizuka mingi ya mapenzi na yeye ameamua kutulia.

Samahani..hivi wewe ni KE au ME
 
Mbona mimi nimemzidi miaka 12 na yuko poa tu, Inategemea feelings zako kwake na maongezi yenu kama yanaendana. Uzuri ni kuwa huyu jamaa nae amehanja na amekutana na mizuka mingi ya mapenzi na yeye ameamua kutulia.
unambaka uliye naye, ni vyema mme kumzidi mke ila sio mmke amzidi mmewe?
 
Ninaweza kukupa contact zake lakini ninajua jibu atakalokupa ni 'mind your own business'.
mimi kaz yangu ni mahakamani, kutafta wateja wa namna yake, ila kama umempa limbwata siwezi bisha nakubari kbsa husinipe,limbwata likiisha atanikumbuka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom