Wadau wa jukwaa hili msaada nilifuta whatsapp kwa bahati mbaya sasa baada ya kupakua tena ndani ya play store imegoma kufunguka inaishia kutoa ujumbe kama hivi initializing wait a moment sasa hiyo moment imekuwa zaidi ya 24hrs imepita sasa iko hivyo hivyo.. msaada wenu please.