General check up ukifikisha miaka 40 unapimwa PB, urefu na uzito, macho kama unahitaji Miwani. Unaulizwa kama unatatizo mfano kichwa kuuma mara kwa mara unaweza kupimwa damu.
Kuna risk factors mfano Baba yako alipata tezi dume, Baba au mama alipata ugonjwa wa moyo au kisukari. Hapa age, na genes zinakuweka kwenye high risk. Kama uzito ulikuwa mkubwa na PB iko juu Hii ni risk factor nyingine, itabidi uwekwe kwenye uangalizi wa karibu.
Ushauri kuhusu vyakula na mazoezi utatolewa.