Ni mzuri jamani...kweli JF kuna vyombo.........huyu dada alikua ana iPAD ina black cover..... ilkua upande wa mbezi beach......alitoka kuogelea akaja counter amevaa kanga, juu ana bra tu. Nimemtambuaje?: alikaa pembeni yangu akaaagiza "Magaritta" (sina uakika na spelling) alikua busy na kuchat...wakati mwingine alitabasamu mwenyewe......nilivutiwa na nikaamua niwe mdadisi......kuchungulia....nikaona JF home page......nikajisogeza karibu.......nikaona anachat ila sikufanikikiwa kuona ni forum ipi alikua. Kama wewe dada unanisoma ...baaasi ujue umesimama........JF ni nouma aisee..... umesimama dada.
upererezi wako haujakamirika!
rudi tena mbezi umfuatirie!
over!!!!!!!!!!!!!!!!
Asante.......!!!ila sikupenda ulivyokuwa unanikata jicho kias kile mpk kinywaj hakishuk vzur
He he he, ile sehemu wadada wanaogelea na ipad? Pale biashara matangazo.
Haya nadhani umefanikiwa lakini utakula kwa macho tuuu....
HIVI ALIKUULIZA KAMA nani anakumiliki hapa?Asante.......!!!ila sikupenda ulivyokuwa unanikata jicho kias kile mpk kinywaj hakishuk vzur
Hehehe.....ni whisky ile....shukuru Mungu mke na watoto wallikua around.
HIVI ALIKUULIZA KAMA nani anakumiliki hapa?
Sometym kuthaminisha lazima, unaenjoy uumbaji wa Mungu then unafuata yakoAsante.......!!!ila sikupenda ulivyokuwa unanikata jicho kias kile mpk kinywaj hakishuk vzur
HIVI ALIKUULIZA KAMA nani anakumiliki hapa?
mwekundu una wivuuu.
Teh teh teh.......utajijua mwenyewe!!!ila sijapenda,uliniona kwa bahati mbaya tu pale