kufake km kote!sidhan ..naudhika mnavyogeneralize kuwa wanawake wanawapiga mizinga...sio kweli ht kidg..kuna watu wazito sana kuomba omba hela mkuu
Binafsi huwa nashangaa mwanaume kulalamika.
Kama wewe ndiye ulimtongoza mwanamke na unampa huduma sasa ukiskia kaharufu tu kakukusaliti si unapiga chini?
Labda mke ndiyo kazi kupiga chini kijinga jinga.
Hongera sana mkuu tuliokuwa tunakunyemelea tuandike maumivu
Nipo available ...Hongera sana mkuu tuliokuwa tunakunyemelea tuandike maumivu
True love ipo....
Wanawake 'wema' wapo wengi tuu.
Kabla ya kuomba mke au mume mwema kwanza tuangalie njia zetu.
Ni vigumu saana ukiwa unachezea mabinti hovyo hovyo nawewe kupata kilicho chema. Vilio na machozi yao vinakurudia.
Namna pekee yakupata kilicho sahihi ni kuishi maisha ya utakatifu huku ukimuomba Mungu akuoneshe kilicho chema.
Mtoa mada fanya sasa kujipanga umchumbie umuoee huyo binti.
True love ipo....
Wanawake 'wema' wapo wengi tuu.
Kabla ya kuomba mke au mume mwema kwanza tuangalie njia zetu.
Ni vigumu saana ukiwa unachezea mabinti hovyo hovyo nawewe kupata kilicho chema. Vilio na machozi yao vinakurudia.
Namna pekee yakupata kilicho sahihi ni kuishi maisha ya utakatifu huku ukimuomba Mungu akuoneshe kilicho chema.
Mtoa mada fanya sasa kujipanga umchumbie umuoee huyo binti.
😂😂😂kivurugePiga magoti tusali.
Natafta mkeIla mleta uzi bwana!! Ungeandika tu umempata asieomba pesa maana ndio kipimo mnachotumia kupima upendo. Haya.
hearly tatizo lenu msipoombwa hela mnaenda kutoa kwingine, mna ile self esteem pride.
Kuombwa pesa si tatizo, inategemea na pesa ya nini mimi siwezi omba pesa ya saloon, sijui nguo ila nkiomba pesa ni kwa ajili ya mambo ya maendeleo.
Wanafikiri tunapoomba ni kazi ndogo, tumejitoa kweli. Wasioomba wanaugulia tu kimya kimya ila wanataka na ukiwapa hawakatai. Hivyo wawe wanajiongeza tu.
kivuruge
Natafta mke
Nasubiri umalizie niseme ameeenPiga magoti tusali.
HaahhahaaIla mleta uzi bwana!! Ungeandika tu umempata asieomba pesa maana ndio kipimo mnachotumia kupima upendo. Haya.
Sijui hata....Umempotezea wapi mkuu?
mie siwez na sipend kuomba ila ukinipa nashukuru mno mno! ila nikikuona ww mbinafsi nitakushangaza!sipend men mbinafsi kwasabb mm ubinafs siuez..
tatizo shem jina like gumu sana ..hebu nijaribu kumtag hapa@JKRM...imegoma😥Nina shida na hela alafu wa kumuomba sioni lol!! Nipe ramani basi mshenga.