BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,341
Nikwambie kitu mkuu, go to someone who will value your time, your care, your feelings, and your love towards her. You cant force someone to love you if she doesnt have any feelings for you. One day ataelewa haya maneno but wewe utakua umetulia kwenye mikono ya unayemstahiliHakika mkuu,kuna dada humu ndani mwezi wa pili huu sasa naonesha hisia zangu kwake.Ila cha ajabu hajawahi hata uthamini upendo wangu kwake.Sijui nitumie njia gani?Isitoshe yeye ni mtu alienifanya ni SIGN UP hapa jamii forums.Anyway...
Ndio maana mkuu nimeamua kutulia tuli.Labda halikuwa chaguo langu.Najihisi mwenye furaha sasaNikwambie kitu mkuu, go to someone who will value your time, your care, your feelings, and your love towards her. You cant force someone to love you if she doesnt have any feelings for you. One day ataelewa haya maneno but wewe utakua umetulia kwenye mikono ya unayemstahili
Niagize niwe mjumbe wako kwake. Hakika nitayatekeleza utakayonituma.Hakika mkuu,kuna dada humu ndani mwezi wa pili huu sasa naonesha hisia zangu kwake.Ila cha ajabu hajawahi hata uthamini upendo wangu kwake.Sijui nitumie njia gani?Isitoshe yeye ni mtu alienifanya ni SIGN UP hapa jamii forums.Anyway...
Mkuu kama mwenyewe nimepuuzwa je wewe si utapigwa na mawe kabisa?Niagize niwe mjumbe wako kwake. Hakika nitayatekeleza utakayonituma.
Umefunguka mbaba au unalialia tu mkuu kama mtoto mdogo anaelilia nyonyo ila hawezi kusema?Hakika mkuu,kuna dada humu ndani mwezi wa pili huu sasa naonesha hisia zangu kwake.Ila cha ajabu hajawahi hata uthamini upendo wangu kwake.Sijui nitumie njia gani?Isitoshe yeye ni mtu alienifanya ni SIGN UP hapa jamii forums.Anyway...
Hapana mkuu,hebu jaribu kunituma. Mimi ni mdada mwenzie...nakuwa mshenga wako. Atanielewa tuMkuu kama mwenyewe nimepuuzwa je wewe si utapigwa na mawe kabisa?
Hahahahaa umejitolea sana kunisaidia ila nashukuru sana maana nitaonekana nimeshindwa hadi nikahitaji msaada.Anyway naweza kuwa happy kwa kutomfikiria sana na maisha yakasonga.Hapana mkuu,hebu jaribu kunituma. Mimi ni mdada mwenzie...nakuwa mshenga wako. Atanielewa tu
Endelea kusubiri mvumilivu hula mbivu lakini sometimes zinaozaHakika mkuu,kuna dada humu ndani mwezi wa pili huu sasa naonesha hisia zangu kwake.Ila cha ajabu hajawahi hata uthamini upendo wangu kwake.Sijui nitumie njia gani?Isitoshe yeye ni mtu alienifanya ni SIGN UP hapa jamii forums.Anyway...
Mkuu ushafika huku?Ni kawaida kupendwa mahali usipopendwa mkuuEndelea kusubiri mvumilivu hula mbivu lakini sometimes zinaoza
Una huu ujasiriUmenena vyema kabisaaa
Haya sasa niliyowafata pm nikawapa mitongozooo nijibuni basiii
Ni kweli. Na inafaa iwe "two way traffic"Katika pitia pitia zangu za baadhi ya thread humu MMU, ninekutana na huu ujumbe mzito kwenye moja ya comments tena kutoka kwa mwanamke.
Huo ujumbe ni kama ifuatavyo:::-
My take :wanawake ifikie time tuwe tunaheshinu wale wanaoamua kutuonyesha hisia zao na kutupenda kwa dhati ila tatizo letu mtu akikupenda unajiona wewe ndio kila kitu na kufamfanyia kila aina ya ujinga ukiamini hawezi kukuacha ila baadae mambo yakibadirika unaanza mtafuta mchawi ila siku atakapokutana na anaeijua thamani ya mwanamke usitarajie kama atarudi kwako kila binadamu anapenda amani ya moyo hakuna anaependa maisha ya stress......".
View attachment 532405
Haaa huamni au unataka niwaoridheshe hapaaUna huu ujasiri