wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,688
- 26,796
Wakuu poleni na misukosuko ya usiku tumshukuru muumba wetu kwa kutuamsha tena japo kuna waliopatwa na shoruba za ndoto( ila sio wote)kama kukimbizwa! Kupaaa!!kuogelea!!kula nyama!!kusukuma gari lakini halisogei!kuruka juu ya miti!!kwenda sehem yenye mazingira mazuri tena huko mbaaaaliii...any way nisiwachoshe twende kwenye uzi!!!!kama kawaida kwenye shughuli zangu za stendi bwana nimepatwa na mshangao!!yaani nimekutana na bubu barabarani anawavusha vipofu wawili pale kwenye zebra!!sasa mi nikajiuluza hv hawa vipofu sasa watajuaje kama ni bubu anawavusha!!! Na huyu bubu sasa amejitambulishaje kwa hawa vipofu!!!yaani nimejikuta nachekaa tuu kwa sababu alikuwa anawavuta sana!!!