Nimekutana na bubu barabarani anawavusha vipofu wawili pale kwenye zebra

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Wakuu poleni na misukosuko ya usiku tumshukuru muumba wetu kwa kutuamsha tena japo kuna waliopatwa na shoruba za ndoto( ila sio wote)kama kukimbizwa! Kupaaa!!kuogelea!!kula nyama!!kusukuma gari lakini halisogei!kuruka juu ya miti!!kwenda sehem yenye mazingira mazuri tena huko mbaaaaliii...any way nisiwachoshe twende kwenye uzi!!!!kama kawaida kwenye shughuli zangu za stendi bwana nimepatwa na mshangao!!yaani nimekutana na bubu barabarani anawavusha vipofu wawili pale kwenye zebra!!sasa mi nikajiuluza hv hawa vipofu sasa watajuaje kama ni bubu anawavusha!!! Na huyu bubu sasa amejitambulishaje kwa hawa vipofu!!!yaani nimejikuta nachekaa tuu kwa sababu alikuwa anawavuta sana!!!
 
member ungana na mgeni mwenzio aliyeandika GEITA RAHA mkafanye sherehe umeshaanzisha uzi JF. siku nyingine kabla ya kubandika jiulize hadithi yako itatufundisha nini?
 
Utajiri sio pesa, magari na majumba ya kifahari. Ila ni nn unacho moyoni. Kimsingi umebarikiwa ili uwe baraka kwa wengine
 
Wakuu poleni na misukosuko ya usiku tumshukuru muumba wetu kwa kutuamsha tena japo kuna waliopatwa na shoruba za ndoto( ila sio wote)kama kukimbizwa! Kupaaa!!kuogelea!!kula nyama!!kusukuma gari lakini halisogei!kuruka juu ya miti!!kwenda sehem yenye mazingira mazuri tena huko mbaaaaliii...any way nisiwachoshe twende kwenye uzi!!!!kama kawaida kwenye shughuli zangu za stendi bwana nimepatwa na mshangao!!yaani nimekutana na bubu barabarani anawavusha vipofu wawili pale kwenye zebra!!sasa mi nikajiuluza hv hawa vipofu sasa watajuaje kama ni bubu anawavusha!!! Na huyu bubu sasa amejitambulishaje kwa hawa vipofu!!!yaani nimejikuta nachekaa tuu kwa sababu alikuwa anawavuta sana!!!

Mungu alifanya kila jambo kwa makusudi yake, maswali uliyojiuliza ni ya kibinadamu zaidi na uliyoyaona yakitendeka ni ya ki Mungu zaidi, mshukuru Mungu na ujiulize je wewe ni bora zaidi ya hao uliowaona?
 
Back
Top Bottom