Nimekuta mbao za matangazo udsm

Calnde

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2008
Posts
1,373
Reaction score
281


Nawasilisha kama nilivyokuta mbao za matangazo udsm

​
 
tanzania bila maajabu haiwezekani
 
wapi Mzee wa Punch?
Nani kamuua?
Where is his generation?
Yule ndo alikuwa great thinker wa ukweli ukweli, wengine wote wazugaji tu.
 
Huyo mwanafunzi kapata mkopo kweli? Kama amepata ufanyike utaratibu wa kumnyang'anya hela inayotokana na kodi zetu kwani kuna kila dalili atakuja kuwa USELESS kwa taifa hapo baadaye. Wenzie wanataka katiba mpya, kuwawekea dhamana wenzao walio sero, yeye anashugulikia malavidavi. Ashukuru kitufe cha kubonyeza DISCO kimeibiwa na Kawambwa.
 

huyu ni wamkopo bila shaka ndio maana anaona ubwete, soon hatakuwa kwenye ofisi za umma aisee
 
nendeni mkampime huyo akili kama za wabunge wa magamba
 
Duh! Mbona anapadhalilisha darajani huyo!??! Arrrggghhh
 
Unategemea nini kutoka kwa watoto waliofundishwa na half baked teachers (voda fasta)????

Enzi zetu hata form I (single cell, amoeba, mswaki etc), alikuwa hawezi kuandika upuuzi wa namna hii!! Ndio maana bodi inawanyima mikopo halafu wanabaki kucheka cheka kama vitoto vya ndege vilivyofiwa na mama yao!!
 
Siongezi neno!
 

vitoto vya ndege vilivyofiwa na mama yao huwa vina chekacheka au vinalia!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…