Mzizi mkavu, mshana junior hembu kuja pande hii nasikia kuna jinsi ya kuyafanya jamaa atavimbaje makalio ngoja wajeHabari za mchana jamani. leo nimeamka nimekuta kinyesi cha binadamu tena mtu kanya usiku kiko fresh kabsa,nikiwaza ilivyo ngumu mtu kuingia ndan ya compound au kuruka geti na kuingia na kisha kunya hapo ndo nawaza,kwa sababu ni ngumu sana,nilijaribu kuwashirikisha wapangaj wenzangu nao wanaduwaa ila kuna mmoja kanieleza hyo hali ni ushirikina.Nakuja kwenu najua watu humu mna elimu mbalimbal naombe mnieleze kwa wanaojua implication ya kukuta mtu kanya mlangoni. Cc mshana jr na wengine
Habari za mchana jamani. leo nimeamka nimekuta kinyesi cha binadamu tena mtu kanya usiku kiko fresh kabsa,nikiwaza ilivyo ngumu mtu kuingia ndan ya compound au kuruka geti na kuingia na kisha kunya hapo ndo nawaza,kwa sababu ni ngumu sana,nilijaribu kuwashirikisha wapangaj wenzangu nao wanaduwaa ila kuna mmoja kanieleza hyo hali ni ushirikina.Nakuja kwenu najua watu humu mna elimu mbalimbal naombe mnieleze kwa wanaojua implication ya kukuta mtu kanya mlangoni. Cc mshana jr na wengine
CC Jichawi.Mzizi mkavu, mshana junior hembu kuja pande hii nasikia kuna jinsi ya kuyafanya jamaa atavimbaje makalio ngoja waje
Habari za mchana jamani.
Leo nimeamka nimekuta kinyesi cha binadamu tena mtu kanya usiku kiko fresh kabsa, nikiwaza ilivyo ngumu mtu kuingia ndan ya compound au kuruka geti na kuingia na kisha kunya hapo ndo nawaza,kwa sababu ni ngumu sana,nilijaribu kuwashirikisha wapangaj wenzangu nao wanaduwaa ila kuna mmoja kanieleza hyo hali ni ushirikina.
Nakuja kwenu najua watu humu mna elimu mbalimbal naombe mnieleze kwa wanaojua implication ya kukuta mtu kanya mlangoni. Cc mshana jr na wengine