Nimekuta hiki kitu kwenye sim ya mama watoto.nifanyeje?

Usijipe presha braza! Huu mwezi mtukufu watu hawafanyi dhambi, fikiria vitu mkeo anavyotengeneza vya kibiashara vinavyo anzia na k itakupa ahueni.
 
Alimaanisha hiyo "kahawa" haiishi utamu yaani ipo kama asali vile sasa sijajua ni "Africafe au Tancofee" thats my opinion kwa hiyo text
 
Potezea mambo mengine wajifanya mjinga tu ili uweze panga mbinu za kumkamata mhusika na kutoa hasira
 
Jamaa ni bonge la mwanaume mpole, pamoja watu wanakushauri hawajaligundua hili, na mke wako anatumia upole wako kama fursa kuyafanya hayo aliyoyafanya!
Jibu hiyo msg then mwendelee kuchat kama ww ni huyo mkeo!
Japo ukweli ni kwamba kuanzia leo kazi zako zitavurugika
* Akili yako itahama frm normal line
*Utendaji wako utashukA
* afya yako inaweza kata hata kilo 3 just kwa siku tatu
* utaanza kuchukia baadhi ya watu hasa ndugu zake na rafiki zake
* utaanza kuwa mchepukaji kama hukuwa na hiyo tabia
Kikubwa na kibaya zaidi mnaweza leteana maradhi hasa HIV kwa speed ya radi.
CHUKUA TAHADHALI KWA HAYO MABADILIKO
 
Fanya mpango wa kukamata hiyo njemba...kuna namna nyingi za kumnasa huyo jamaa.

1.Tumia mwanamke ajifanye kama kakosea kumpigia then amuulize yeye naishi wapi, n.k,

2. Save namba yake ya simu kwenye simu yako kisha icheki kama yupo WhatsApp; kama yupo waweza mtambua kama ameweka profile picture,

3. Cheki jina lake kwa Mpesa au vinginevyo kujua namba yake imesajiliwa kwa jina gani, kisha tumia akaunti ya fb ya mwanamke amuombe urafiki akikubali...ampeleleze yeye ninani n.k...

Hizo ni njia baadhi tu za kumnasa huyo mwizi, simple like hivo yaani ....
 
Uchi wa bhoke mzuri na wa moto kumbe anamaanisha uji wa bhoke kwahiyo relax atakuwa anamaanisha kisusio
 
Back
Top Bottom