Chimemena
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 1,376
- 453
Ndugu wanaJF dakika chache zilizopita nimeenda dukani kununua soda ya STONEY TANGAWIZI, ila cha kushangaza nikiwa nakunywa ghafla nikashtuka kuona ndani ya soda kuna kizibo kimekunjwa na kinaonekana kimeshka kutu. Nikaamua kumimina soda kwenye bakuli naye pia nikaona ina rangi ya kikahawia inayoambatana na kuchafu mweusi.!! Nipo cross road wandugu juu ya afya yangu sijui hata nifanyeje!? Kuweni makini na hz soda si salama salimini.