Nimekunywa pombe ndotoni, nimeamka nimelewa, mchovu na kichwa kinaniuma

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,871
155,835
Mabibi na mabwana, salaam.

Nimeota ndoto nimemtembelea ex girlfriend wangu nyumbani kwake, akanichomea nyama ya mbuzi na akanipa ile pombe ya Japan yenye 🐍 nyoka ndani.

Nikala, nikanywa, nikalewa, wakaja na wenzake tukaanza kufanya ngono, nawafanya wore watatu. Nimeamka nimelewa kabisa, kichwa kinanigonga vibaya Sana, na nimechoka Sana.

Hi ndoto Ina maana gani? Pili, iweje mazingira ya ndotoni yaniathiri mwili!?

Naomba hekima na busara zenu.

NB:- This sheet is very serious, please take it seriously
 
Tayari umetumika mkuu, ndoto yako Ni halisia na kilichotokea Ni halisia.chakufanya tafuta Kinga usiendelee tumikishwa kizembe.

Kinga ninayomanisha ni kulingana na imani yako kwani utasaidika tu kwa kile unachoamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matatizo ya kuchanganya ya dunia na ya Mungu. Kuna mtumishi aliyechanganya Kama wewe video yake ya ngono ikavuja mitandaoni. Tubu dhambi zako na ujifunike kwa damu ya Yesu kabla hujalala.
Si ndo yule baharia aliyetangaza nia pale Kawe?
 
Mabibi na mabwana, salaam.
Nimeota ndoto nimemtembelea ex girlfriend wangu nyumbani kwake, akanichomea nyama ya mbuzi na akanipa ile pombe ya Japan yenye 🐍 nyoka ndani.
Nikala, nikanywa, nikalewa, wakaja na wenzake tukaanza kufanya ngono, nawafanya wore watatu.
Nimeamka nimelewa kabisa, kichwa kinanigonga vibaya Sana, na nimechoka Sana.
Hi ndoto Ina maana gani? Pili, iweje mazingira ya ndotoni yaniathiri mwili!?
Naomba hekima na busara zenu.
NB:- This sheet is very serious, please take it seriously
ulikuwa kwenye party la wanga gamboshi, ukanywesha pombe ya kilozi inaitwa mkumakuma ni hatari kwa maini
 
Back
Top Bottom