Nimekumiss Wana wa jamiiforum

Nimekumiss Wana wa jamiiforum

Kwanza niwasalimie ,shikamooni
Wadogo zangu,marhaba.

Jamani ,nimewamiss Sana,Maria miye,nishaanza kuzoea huu mtandao, nilichogundua,huku ni wachache na ni rahisi watu kuchat kama familia,
Namiss kuitwa mwanaume 😂
Khaaa yaani mtu hakujui,anakwambia huu mwandiko ni wa kiume ,duh huwa mnaniacha hoi.

Wengine mara najiuza,wakati huo Nina mwaka wa tatu jijini simjui mwanaume,yaani nimeamua kutofanya mapenzi, kwani vitu vingine vinawezekana, sina mtoto,naishi Kwa wazazi kazi nafanya,sasa nidange ili iweje?

Karibuni tuchat
Tangazo kama hili haliwezi kukamilika bila kuambatanisha namba ya simu😎
 
Back
Top Bottom