Lakini unapenda ungekutana naemnato ni majaaliwa, siwezi kumsimanga mtu kwa kutokuwa karibu na mnato.
Khantwe umenisoma mrembo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nami nakuita ledadanimecheka sana wallah
Mnato unaitwa huku
Hawawezi kuparamia maana utafungiwa na cctv camera kuzunguka ukuta wote.
Hawawezi kuparamia maana utafungiwa na cctv camera kuzunguka ukuta wote.
Maendeleo hayana chama
Kuanzia leo naomba heshma yangu...Miaka iyo ya 94 nilikuwa najiandaa ingia vidudu kumbe mkuu we ulikuwa bize na mnato!!! Aise
Aisee!!!Kuanzia leo naomba heshma yangu...
Ila ole wako tuje kuzungusha ukuta hlf tukute hamna madini yamebaki mashimo mashimo tu.
HayupoHahahaaaaaaa yaani umenifanya nami nicheke. Kwani hayupo huko?
PM yako ipo wazi?
Nani mnato? Hapana
Kwa upole na huruma , usimshirikishe Allah (M/Mungu ) ktk lafudhi chafu !! shukrani
Bee babuNami nakuita ledada
Uuwiii mbona umeruka hivyo. Kuwa naye si dhambi dada..Nani mnato? Hapana
Ila ole wako tuje kuzungusha ukuta hlf tukute hamna madini yamebaki mashimo mashimo tu.
Maendeleo hayana chama
Najua mpendwa kuwa si dhambi ila hayupo kweliUuwiii mbona umeruka hivyo. Kuwa naye si dhambi dada..
PM yako ipo wazi.. I repeat...
Babe, naona huu uzi ni wakunatana....tehteehh