lito bebe
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 277
- 358
Ujinga huu nimefanya sana kwa simu ya kuibia ibiaNakumbuka chating enzi za secondary
°Baby fungua mlango nakuja tulale![]()
°Nimefungua njoo ndani Honey
°Nisogelee sweetheart na utoe nguo
°Baby funga macho nikukiss
°Nishafunga baby.
°Mwaaa
Muda huo ni usiku, upo tabora boys na huyo mjinga mwenzio yupo kilakala sec


