Nimekula kichwa cha bata Leo...

Nimekula kichwa cha bata Leo...

Hapa maskani Nina kibwawa kidogo nafuga samaki kambale....nafuga na bata ambao nawatumia km sehemu ya kuimarisha mfugo wa kambale.
1.kinyesi chao ni chakula cha samaki wanavyoogelea.
2.wanafanya oxygen ipatikane kwa uraisi kwa samaki,cz wanavyoogelea maji hayatulii yanachezacheza usaidia mzunguko wa hewa kwa kambale.
Nimetoa ufafanuzi keupusha maswali kwann nafuga bata na samaki.
Direct kwenye hoja ya msingi tangu Niko mdogo niliaminishwa kichwa cha bata hakiliwi.
Leo nimevunja mwiko wadau ni nimekula ni kitamu sana hasa Yale madude usoni ni km unakula mayai...
Kiukweli sitatupa tena kichwa cha bata.
Jaribu na wewe kula husikariri maneno ya watu.
Na changu uta kula lini
perfectcrispin-20181110-0001.jpeg
 
Nmecheka sana mkuu 😀😀😀😀😀😀ulianza fresh kuelekeza jinsi ya kufuga samaki ila umekwama hapo mwisho
 
Kuna siku nilikibanja kichwa cha kuku kilichochemshwa yale makitu kitu mle nilijiapiza kichwa sitakua nakigusa hata kipikweje leo unilishe bata? Vile anavyochokora maj machafu na huku kwetu kuna majongoo makubwa meusi nikamuona bata analila awee hapana

Hahaa hivi unadhani mtoa mada anamaansha bata kweli? Madame S
 
Shem punguza hasira, japo nakuunga mkono, mi pia sili kichwa cha kiumbe chochote, achilia mbali kuku/bata
Ila kuna watu wanakula mpaka kichwa cha mdudu/noah (kitimoto). Sasa hebu kitafakari kichwa cha noah kilivyo, ilepua kama fuso, macho kama taa za benzi old model Mafua yasiokatika kwa kupekenyua vinyesi na uchafu.
duh!!, hao wakaonane na wale jamaa wa Guinness book " wanaweza kupewa mshiko wa maana tu .Maana sio kwa hizo record
 
Back
Top Bottom