IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,028
- Thread starter
- #21
Chumvini na kichwa cha bata bora nn?Shem punguza hasira, japo nakuunga mkono, mi pia sili kichwa cha kiumbe chochote, achilia mbali kukua/bata[emoji18]
Ila kuna watu wanakula mpaka kichwa cha mdudu/noah (kitimoto). Sasa hebu kitafakari kichwa cha noah kilivyo, ilepua kama fuso, macho kama taa za benzi old model Mafua yasiokatika kwa kupekenyua vinyesi na uchafu.