IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,027
Hapa maskani Nina kibwawa kidogo nafuga samaki kambale....nafuga na bata ambao nawatumia km sehemu ya kuimarisha mfugo wa kambale.
1.kinyesi chao ni chakula cha samaki wanavyoogelea.
2.wanafanya oxygen ipatikane kwa uraisi kwa samaki,cz wanavyoogelea maji hayatulii yanachezacheza usaidia mzunguko wa hewa kwa kambale.
Nimetoa ufafanuzi keupusha maswali kwann nafuga bata na samaki.
Direct kwenye hoja ya msingi tangu Niko mdogo niliaminishwa kichwa cha bata hakiliwi.
Leo nimevunja mwiko wadau ni nimekula ni kitamu sana hasa Yale madude usoni ni km unakula mayai...
Kiukweli sitatupa tena kichwa cha bata.
Jaribu na wewe kula husikariri maneno ya watu.