Nimekukumbuka Marcio Maximo

I miss it " Tupo Pamoja, Tutafika" he had a Vision that we could do it, he went down streets to explore Underground talents. Mimi narudia Nimekukumbuka Marcio Maximo

yaani mkuu kama nakuona vile... unavyoongea kwa uchungu nahisi hata machozi yanakudondoka...
 

Ingekuwa like ni zaidi ya mara moja ningekupa likes 100

Yanga na Simba hata umlete Malaika GABLIEL ataondoka na wenda ndio wakashuka na daraja.

Nchi hii inaitaka pepo bila kufa, wanataka mafanikio ya kuamka unakuwa tajiri kama vile upo jumba la Big brother kuigiza maisha kwa miezi mi 3, nahs ndio maana miechezo ya shortcut hii tunashinda maana tunaweza kuigiza kupata mafanikio ya njia fupi

Ndio maana Wauza unga wanaongezeka Tanzania tangu mtoto wa Rais mpk Kajamba nani Manzese, kwasababu tunataka Shortcut hatutaki mafanikio ya Kusubiri.

Ukiona mtu anamuona Maximo so kitu ndio walewale wanaoamini katika U-yanga na U-simba kama ndio kila kitu katika Soka, ndio maana hata katika kuchagua team walitaka muda wote abalance wakitoka wanne yanga basi simba nao wapate wanne

Na tuna bahati tu mshahara enzi hizo alikuwa akilipwa na serikali la sivyo Maximo asinge kaa miaka mingi vile Tanzania

And mimi naandika hivi si kuwa ni mnafiki sikuwai kukubaliana na kuondoka kwa Marcio maana nilijua alipoifikisha timu ilikuwa ni juhudi binafs na msimamo lakin hana vitendea kama maana hatujawai andaa, huyu kocha ilibdi apewe hata kazi ya kukuza vipaji tu

Alikuja hapa si kama mfanyakazi lakn alijitahd kuwa sehemu ya maisha yetu, alijichanganya na kuwa part and parcel

Nimekukumbuka Maximo
 

Ndo maana sasa hivi watanzania wameshaachana na hii mipira ya Yanga na Simba...

Binafsi sioni umuhimu wa kuwa na timu ambayo ina miaka 80 haina hata uwanja wa mazoezi...

Kero sana hii...
 
Napendekeza Stars arudishwe Maximo au apewe hans pluijm .
Hawa watu wanajua saikolojia ya mchezo na saikolojia ya mchezaji mmoja mmoja
 
Kwanini hatumpa mke huyu jamaa abaki bongo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…