Nimekukubali dr slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimekukubali dr slaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Taifa_Kwanza, Mar 3, 2011.

 1. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wakati wa Kampleni za uchaguzi mwaka jana, TBC1 walirusha kipindi cha mahojiano na DR. Slaa, moja ya swali la kizushi walilomuuliza ni kwamba, Kama akishindwa katika uchaguzi huo atakuwa anajishughulisha na nini ukizingatia atakuwa amepoteza hata ubunge?
  DR SLAA akajibu kwamba,
  Ataendelea na kazi ya ukatibu mkuu wa chama, na kwamba ukizingatia kwamba hatakuwa mbunge wala diwani basi atakuwa na nafasi ya kufanya kazi ya ukatibu mkuu kwa ufanisi zaidi.

  Akaendelea kwa kutoa ahadi kwa watanzania kwamba, kutokana na hali hiyo basi watanzania wategemee kuona UTAMU WA SIASA katika kipindi cha miaka mitano hii mpaka tutakapoingia kwenye uchaguzi mwingine mwaka 2015.

  KWA HAYA YANAYOENDELEA SASA, NAOMBA NIKILI KWAMBA DR AMEANZA KUTIMIZA AHADI NA TAYARI SIASA ISHAKUWA TAMU SAAAAAAAAAANA Japo ni si utamu tena kwa CCM bali Pilipili kali saaaaaana.
   
 2. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  naunga mkono hoja.
   
 3. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hapo umenena
   
 4. CPU

  CPU JF Gold Member

  #4
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Slaa ni Dokta bana. Tena ni bora ameacha ubunge, maana kule hatuna Speaker bali tuna MATOTO ya NDEGE
   
 5. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,267
  Likes Received: 2,043
  Trophy Points: 280

  kimsingi ameshapoteza dira, anachofanya ni kusuasua tuu na namtabiria mwisho mbaya sana!
   
 6. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,267
  Likes Received: 2,043
  Trophy Points: 280
  we unasema bora ameacha ubunge wakati mwenzako anajuta? we vipi!
   
 7. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Angalia isije mwisho mbaya ukaanza kwako,maana wengine wanamtegemea mungu,na si vitu vingine vya ajabu.Kwa hiyo chunga kauli yako.
   
 8. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2011
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  ajapoteza mwelekeo , nami namtabilia mwisho wenye mafanikio au unataka tufinge kama watoto?
   
 9. kanta

  kanta JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Slaa hawezi kuwa na mwisho mbaya kama Mkwere,tena utakuwa mwisho mbaya sana cause hata hicho CHAMA CHA MAFISADI kitamfia mikononi mwake.
   
 10. Ndamwe

  Ndamwe Senior Member

  #10
  Mar 3, 2011
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 107
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huyu ni Dokta wa ukweli bana, siyo wa kujibambika kama akina jk, sure!
   
 11. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Kama alijua bunge litakuwa halina spika vile. Hivi ndivyo siasa ya vyama vingi inapaswa kuwa na si kusubiri uchaguzi tunawaona akina mbatia wanajifanya wapinzani.
   
 12. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #12
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ukiwa na kichwa kizuri (akili) na mikakati lazima matunda/mafanikio yaonekane. Dr Slaa ameonyesha mafanikio makubwa akiwa ubunge na sasa kama katibu mkuu (mtendaj mkuu) wa CHADEMA wanaopinga ni kwa sababu hawapendi maendeleo ya watz. wabinafsi.

  Mungu aendelee kuwapa nguvu wazalendo wote TZ. wafisadi walegee na kushindwa kabisa.
   
 13. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #13
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  vivaaaa!!!
   
 14. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #14
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Yupo makini sana, labda CCM wamchakachue kama walivyo mchakachua Mrema, inabidi CDM waweke ulinzi Mkali sana kwa huyu Mzee maana anaheshimika kuliko hata Kikwete
   
 15. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #15
  Mar 3, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Yangu macho, Daktari Slaa hajaua hata Mende, hapo ndipo utakapoona tofauti kati ya udaktari wa lupewa naule wa darasani, kwanza wa kupewa huwa unaisha baada ya urais watu huwa hawasumbuki tena kukuita daktari kama wengine waliotangulia. hivyo wakati jamaa anaangalia matatizo yta watu kwa makini saana na kuteka akili za wengi Mkwere anaenda kusinzia na mwenzake Paris, ule usingizi sio wa club jamani ile ni kihoro horo cha huku wakiwa tz hawalali wale.
   
 16. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #16
  Mar 3, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Umejuaje kama anajuta? wewe ni mke wa Dr.Slaa? maana unajua mambo ya ndani kuhusu yeye.
   
 17. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #17
  Mar 3, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,072
  Trophy Points: 280
  nami nakumbuka amewahi kusema wakati fulani bungeni wakati wa masuala ya EPA kuwa katika umri wake wa miaka 60 hakuwa akijisikia vizuri kutenda kinyume na dhamira yake! Nadhani Dr. kasharidhika na alipofikia na anafanya anachokiamini tofauti na wanaotafuta utajili wasijue wataufanyia nini! Namkubali
   
 18. m

  mgalisha Member

  #18
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mpaka kieleweke tu mwendo ule ule..,
   
 19. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #19
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,408
  Likes Received: 1,965
  Trophy Points: 280
  cdm imejipanga kaka/dada hawakurupuku sio kama serekali ya bora liende kila mtu anatoa matamko mara wasira mara sofia simba makamba nae karibu atakurupuka sie tunapata uhondo wa siasa toka kwenye chama mkuu alichokiita cha msimu
   
 20. MFUKUZI

  MFUKUZI JF-Expert Member

  #20
  Mar 3, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 932
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Kiukuweli Dr. Slaa ni jembe, unajua historia mpya ya Tanzania yenye neema majina kama ya DR. SLAA, MBOWE, SABODO na wengine wengi yatapamba vitabu vya historia
   
Loading...