Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,615
- 1,901
Usitafute excuse
Umaskini ni uzembe.
Umaskini NI Laana
Umaskini ni uvivu
Umaskini ni ûjinga
Umaskini ni DHULMA
Mungu hajawahi kumpangia Mtu umaskini. Huyo hatakuwa Mungu Bali ni kibwengo.
Binafsi Naamini MTU kuwa Maskini íwe NI Baba, Mama au Mimi mwenyewe Mungu hahusiki.
Na kama anahusika Basi huyo hastahili kuitwa MUNGU.
Baba au Mimi ninastahili kulaumiwa Ikiwa nitasababisha Umaskini.
Hapo anachofanya ni kumtetea Baba yako tuu ili kutafuta kichaka cha kujificha na kisingizio cha wewe nawe kuwa Maskini ili usilaumiwe na Watoto wako.
Umaskini pia unatokana na mfumo wa dhulma àmbao upo kwèñye jamii.
Kama Baba au kama kijana kitendo cha kukubaliana kuishi kwèñye mfumo unaomkandamiza ili awe Maskini ni Sababu tosha inayomfanya astahili lawama kwa kizazi chake.
Mungu Hana Muda wa kumpangia Mtu Mvivu, Mjinga, mzembe, na anayekubali kuonewa na kudhulumiwa.
Baba anastahili Lawama kama vile àmbavyo angepatia angestahili Pongezi.
Wenzako walivyokuwa wanashushwa na magari ya njano ulikuwa unawaonea gere eeh, ushakuwa umeyaona sasa.
Wengine toka udogoni tulitambua hali ya kweti, sikuwahi kumuona mama yangu kanifanyia dogo, mie vitu vingi saana nilikuwa naona ananifanyia kwa kujiumiza,
Nilikataa kununuliwa nguo za sikukuu nikiwa darasa la 4, nyumbani kuna watoto kibao, mara sijui wa mjomba, mara wa mama mkubwa, mara sijui wa nani, na wote anawajali kama wanae, hakuwa na ubaguzi, sikukuu moja nikamsikia anaongea na mama wa jirani sikukuu inakuja na hajui pakushika, jioni yale nikamwambia kuanzia leo, kuanzia sikukuu hii sitaki kabisa nguo za sikukuu, nikaulizwa kwaninj.
1. Sikukuu nguo zinauzwa kwa bei juu sana tofauti na uhalisia, hiyo pesa ikitumika siku za kawaida huwa napata nguo 3 mpaka 5 za kawaida na ni nzuri tu.
2. Siinjoi, kuvaa miguo ile na kuzurura kwangu ni kero, napenda kwemda beach niogelee tu.
Nikamshawishi akanielewa, kumbe lengo langu ni kumpunguzia gharama.
Bimkubwa katulia kisteringi saaana, ukizingatia dingi alikata moto mapema.
Mama yangu ni mtu special kuliko maelezo, ♥️♥️♥️
Ndio maana ulikuwa unaambiwa kua uyaone😂😂😂😂😂 haya sasa humu tuu kubababakeFaxxx
😩😩😩😩😩😩😩Ndio maana ulikuwa unaambiwa kua uyaone😂😂😂😂😂 haya sasa humu tuu kubababake
Story yako imenisisimua kinoma mzeeWenzako walivyokuwa wanashushwa na magari ya njano ulikuwa unawaonea gere eeh, ushakuwa umeyaona sasa.
Wengine toka udogoni tulitambua hali ya kweti, sikuwahi kumuona mama yangu kanifanyia dogo, mie vitu vingi saana nilikuwa naona ananifanyia kwa kujiumiza,
Nilikataa kununuliwa nguo za sikukuu nikiwa darasa la 4, nyumbani kuna watoto kibao, mara sijui wa mjomba, mara wa mama mkubwa, mara sijui wa nani, na wote anawajali kama wanae, hakuwa na ubaguzi, sikukuu moja nikamsikia anaongea na mama wa jirani sikukuu inakuja na hajui pakushika, jioni yale nikamwambia kuanzia leo, kuanzia sikukuu hii sitaki kabisa nguo za sikukuu, nikaulizwa kwaninj.
1. Sikukuu nguo zinauzwa kwa bei juu sana tofauti na uhalisia, hiyo pesa ikitumika siku za kawaida huwa napata nguo 3 mpaka 5 za kawaida na ni nzuri tu.
2. Siinjoi, kuvaa miguo ile na kuzurura kwangu ni kero, napenda kwemda beach niogelee tu.
Nikamshawishi akanielewa, kumbe lengo langu ni kumpunguzia gharama.
Bimkubwa katulia kisteringi saaana, ukizingatia dingi alikata moto mapema.
Mama yangu ni mtu special kuliko maelezo, ♥️♥️♥️
Ni watoto wachache sana wenye kuelewa hali ya kiuchumi ya wazazi wao, wengi hawajui msoto wazazi wanaopitia hata kuweza kupata chakula tu.Wenzako walivyokuwa wanashushwa na magari ya njano ulikuwa unawaonea gere eeh, ushakuwa umeyaona sasa.
Wengine toka udogoni tulitambua hali ya kweti, sikuwahi kumuona mama yangu kanifanyia dogo, mie vitu vingi saana nilikuwa naona ananifanyia kwa kujiumiza,
Nilikataa kununuliwa nguo za sikukuu nikiwa darasa la 4, nyumbani kuna watoto kibao, mara sijui wa mjomba, mara wa mama mkubwa, mara sijui wa nani, na wote anawajali kama wanae, hakuwa na ubaguzi, sikukuu moja nikamsikia anaongea na mama wa jirani sikukuu inakuja na hajui pakushika, jioni yale nikamwambia kuanzia leo, kuanzia sikukuu hii sitaki kabisa nguo za sikukuu, nikaulizwa kwaninj.
1. Sikukuu nguo zinauzwa kwa bei juu sana tofauti na uhalisia, hiyo pesa ikitumika siku za kawaida huwa napata nguo 3 mpaka 5 za kawaida na ni nzuri tu.
2. Siinjoi, kuvaa miguo ile na kuzurura kwangu ni kero, napenda kwemda beach niogelee tu.
Nikamshawishi akanielewa, kumbe lengo langu ni kumpunguzia gharama.
Bimkubwa katulia kisteringi saaana, ukizingatia dingi alikata moto mapema.
Mama yangu ni mtu special kuliko maelezo, ♥️♥️♥️
Kibaya zaidi mzee alipovuta, kwao walizaliwa wawili tu, dingi na shangazi yangu, shangazi hakujali watoto wa kaka yake, na vitu vyote akakumbatia yeye.Story yako imenisisimua kinoma mzee
Kabisa mkuu.Kibya zaidi
Kibaya zaidi mzee alipovuta, kwao walizaliwa wawili tu, dingi na shangazi yangu, shangazi hakujali watoto wa kaka yake, na vitu vyote akakumbatia yeye.
Maisha yana mambo mengi sana, tuwaheshimu wazazi wetu, labda wale wazazi wachache miyeyusho unaona kabisa hela anayo, lakini ye ni mtu wa pombe sana, uzinzi sana, bar ananunulia malaya na marafiki pombe za 50 elfu nyumbani ugali dagaa
🤜🤛Ndio maisha yalivyo...
Na ukilijua hili mapema, mtoto utaishi kwa amani saana. Ukipewa 50 ya shule hewala, ukikosa sawa, ukipewa 200 sherehe, siku ukipewa 30 burudani pia.Ni watoto wachache sana wenye kuelewa hali ya kiuchumi ya wazazi wao, wengi hawajui msoto wazazi wanaopitia hata kuweza kupata chakula tu.
Unazaa hili iweje sasa kama huna mazingira mazuri kiuchumi kuafford majukumu ya kifamilia ?Ni watoto wachache sana wenye kuelewa hali ya kiuchumi ya wazazi wao, wengi hawajui msoto wazazi wanaopitia hata kuweza kupata chakula tu.
Ahaaa, kumbe eeSio kwamba enzi hzo wao kidogo kulikuwa na unafuu sio kama sasa
DuhUnazaa hili iweje sasa kama huna mazingira mazuri kiuchumi kuafford majukumu ya kifamilia ?
Acheni uduwanzi
Hatari moto unachoma, hadi unatubu kimoyomoyo dingi alikuwa masta sana aliwezaje yeyeNdio maana ulikuwa unaambiwa kua uyaone😂😂😂😂😂 haya sasa humu tuu kubababake
Kwanini upande magari mawili au ndio ile kusoma mjini?Na ukilijua hili mapema, mtoto utaishi kwa amani saana. Ukipewa 50 ya shule hewala, ukikosa sawa, ukipewa 200 sherehe, siku ukipewa 30 burudani pia.
Nakumbuka bimkubwa mara nyingi asubuhi alikuwa akipenda tuongozane, tukifika kigamboni pale kabla ya kuoanda pantoni ananinulia biscuit flani hivi zilikuwa zinaitwa mabrooq kama sikosei, akinipa na shilingi 100 yangu au 200 ya noti aah, enzi hizo nauli ni 20 ama 30 kwa mwanafunzi kama sikosei.napanda mabasi mawili kwenda shule na mawili kurudi, so nikija nae mpaka feri maana yake daladala la kwanza anakuwa kanilipia, hapo Naenda shule naamani kabisa.
Mapumziko nikijibless mihogo na ka SUNVITA kangu, siku hiyo ni muruwa kabisa.
Siku 1😂 nipo feri, tayari gari la kwanza nishalipiwa, kaninunulia biscuit na kanipa 200 yangu, nakutana na watoto wamenitolea buku, wananiomba chenji nikawajibu sina, nina 200 tu, wakaniuliza unaenda shule na 200, nikajibu ndio, aah, walicheka saana, moyoni nikajisemea hawa maKUMER nini, sasa kinachowachekesha nini, wakati mie mwenyewe hapa naenjoy.. Nikipewa buku si ninaweza gongwa na gari kwa kuwehuka. 😂🤣