Nimekuja Moshi mara moja, niende wapi usiku huu?

Kuna Meku's bistro round about ya moshi/about....Hugos pia pako poa, au kama unataka kuibiwa nenda malindi club or pub alberto kuna wadada wengi wapo nje kuwa makini
 

Nenda hamia airtel, kale ktmoto cha kuchoma then katulie club Alberto, ukiwa unarud ulpofkia pitia malind bar kula supu ya mkia af ukalale.
 

mkuu tuletee zawadi
 



kuna kijieneo kinaitwa ' MALINDI' nenda hapo mkuu na machangu wapo, au nenda kasino iko Njoro , ila njoro ni vibaka sana ukienda wakikuibia nipm nije nikuokoeee
 
Kuna Meku's bistro round about ya moshi/about....Hugos pia pako poa, au kama unataka kuibiwa nenda malindi club or pub alberto kuna wadada wengi wapo nje kuwa makini


teacher umenichekesha, malindi/ njoro anaweza rudi bila boxerrrrr moshi bana
 

Ningekualika uje Onyonye ukunonze lakini pamebomolewa..............njoo hapa Zumbaland.........tukitoka hapa tuelekee. Meku's...........aiseee........mbona hukuja jana.......
 
Uliza hapo counter east african ilipo kuna nyama ya mbuzi poa sana?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…