C6
C=? Hii bado ina utata inabidi utuambie ukweli lasivyo rudi kama mwanzo...uwe mtoto
yaani wewe mmeo akikupa mkwanja wa dili ukauchimbie zimbo (chimbo)
basi hata akija mgambo akupige mkwarambuzi , utaonyesha chimbo ! Sikwambii akija pongo itakuaje !
C6
C=? Hii bado ina utata inabidi utuambie ukweli lasivyo rudi kama mwanzo...uwe mtoto
"child is clever".
Charminglady can call him that.
Pongezi kwa kusema kweli.