Kama vile Chupa Mpya ila kinywaji kilekile, au Mtandao uleule ila jina jipya na mimi hivyo hivyo...
ID mpya, Mdau yuleyule.... Formerly Known as The Kid, Only Kid, Mme wa charminglady MtotoS.i.x.
sasa mtanijua kwa id yangu mpya
msiniulize maana ya C ni nini, we weka chochote kizuri kinachoanzia na C, Cool, Clever, Charming, etc namba 6 imebaki vilevile
Ahsanteni sana
Kumbe ni mtoto 6,
naona namba 6 unaipenda sana.
baribu kivingine
Au Chizi 6?
c
shindwa na ulegee.... hiyo ni Charming 6 kama ulikuwa hujui... imenibidi nitoe siri lol