Nimekuja hapa naomba ushauri..

Sina hakika sana kama course hii inatolewa kama program inayojitegemea, mara nyingi huwa ni sehemu tu ya course ndani ya program zinazohusiana na biashara,masoko na zingine kama hizo.

Kwa issue hii unayohitaji wewe huwa wanatoa vigezo vya ujumla tu kama vile uwe una elimu ya kuanzia form 4/6, uwe na uwezo wa kuongea na kuandika kiswahili na kiingereza kwa ufasaha. Baada ya hapo huwa wanatoa special training zao kulingana na mahitaji ya wateja wao pindi wanapo wahudumia.
Customer service and caring nisawa kabsa ungenisaidia coz yake mkuu ningeshukur sanaa

from mudi kidato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina hakika sana kama course hii inatolewa kama program inayojitegemea, mara nyingi huwa ni sehemu tu ya course ndani ya program zinazohusiana na biashara,masoko na zingine kama hizo.

Kwa issue hii unayohitaji wewe huwa wanatoa vigezo vya ujumla tu kama vile uwe una elimu ya kuanzia form 4/6, uwe na uwezo wa kuongea na kuandika kiswahili na kiingereza kwa ufasaha. Baada ya hapo huwa wanatoa special training zao kulingana na mahitaji ya wateja wao pindi wanapo wahudumia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana ntajitaid kuuliza zaid nipate wap pakuanzia asante kwa hili sana

from mudi kidato
 
Naona kama mnachanganya mambo. Kuna tofauti kati ya costomer care na customer service, customer service ndio huduma kwa mteja.

Customer service is giving assistance to customers on how to best use the product, trouble-shooting any issues, and ensuring they had a great buying experience.
Customer care means how well customers are taken care of while they interact with the brand.

Sent using Jamii Forums mobile app
I Know all about this am not the one who need this type of an assistance, you have to understnd the thread. for any business customer care is how to a handle a customer and render good service that can satisfy a customer
 
Naitaj kuwa shop ndo ndoto yangu kubwa najarbu kutafuta njia za kufka pale

from mudi kidato
Mimi nina elimu ya ujasliamali naandika kitabu kiweze kuwasaidia watanzania namna ya kuanzisha na kuenenda kwenye biashara zao 'how to start, behave and manage business'
 
Mimi nina elimu ya ujasliamali naandika kitabu kiweze kuwasaidia watanzania namna ya kuanzisha na kuenenda kwenye biashara zao 'how to start, behave and manage business'
Aah itakuwa vzir zaid wazo lako ukalifanya mapema zaid na kwa wakat

from mudi kidato
 
Back
Top Bottom