Mudi_kidato
Senior Member
- Sep 6, 2019
- 146
- 184
Mm nikijana wa miaka 22 naish dar kaz yangu kwa sasa nasajir lain na ndo kaz yangu ya mda mrefu sana toka 2016 ila ndoto yangu kubwa sana kuja kuwa pale shop mtandao wowote ule ushaul wenu kwaanae jua nipitie njia gan au nisomee coz gan nigikie malengo yangu ilamm kielimu nimeishia darasa la 7 ila English hainisumbuwi sanaaa karbu mawazo yako nayaheshim sana [emoji120]
from mudi kidato
from mudi kidato