Nimekubali Naisoma Namba kwa majonzi tele

shaurimbaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
1,915
Reaction score
2,337
habari wadau.

hiii awamu niliishangilia sana wakati inaanza na hata kampeni nilikuwa upande wao. na nilimpigia kura tinga tinga aje aijenge nchi..

ila pamoja na yote nami naisoma namba kama mwana ccm na vyama vingine vyote wote tunanyooka

niliacha kazi mwez uliopita na nikaenda nssf kufungua madai wakaniambia nirudi leo.

leo nimeenda nssf kinondoni jibu nililopewa limenikatisha tamaa

nimekubali hii awamu tutaishi kama mashetani... haijalishi upo chama gani..

inauma lakini ndio ukweli ukiacha kazi mwenyewe ( resignation) awamu hii lazima uwe na saving ya kutosha. usitegemee mafao sijui nssf, ppf, lapf,pspf huko kote hawacheki na mtu ni mwendo wa kutoswa tu hela zako

nimeattach wimbo wa komba ccm mbele kwa mbele kama dedication kwetu wote tunaoisoma namba bila kupenda
 
Attachments

hiyo namba tunayoisoma ni ya kirumi,kiarabu,kigiriki ama kiyunani?pls mwenye jibu anisaidie..
 
mkuu shaurimbaya pole na yanayokusibu kwa sasa kiongozi, piga moyo konde na endelea kudai haki yako, kama una rafiki yako kasomea sheria basi mtafute akusaidia pa kupita mkuu. Ndio hivyo tena awamu hii tunaambiwa tuwe wavumilivu wanatengeneza Tanzania ya viwanda
 
mie siiisome number kokote kwani nilishakuwa kuku wa kienyeji siku nyingi, nilijua mapama kuwa serikali hizi za siesiem kila kitu wanabahatisha, nikawa mjasiriamali, nauza kila kinachokuja mbele yangu.
Safiiiiiii sana mku mm nguvu nimelekeza uko kazin naingia kwa bip to laki niingia kwenye mifugo yang sikos kalak kila week namba siisomi sana
 
habari wadau.

hiii awamu niliishangilia sana wakati inaanza na hata kampeni nilikuwa upande wao. na nilimpigia kura tinga tinga aje aijenge nchi..

ila pamoja na yote nami naisoma namba kama mwana ccm na vyama vingine vyote wote tunanyooka

niliacha kazi mwez uliopita na nikaenda nssf kufungua madai wakaniambia nirudi leo.

leo nimeenda nssf kinondoni jibu nililopewa limenikatisha tamaa

nimekubali hii awamu tutaishi kama mashetani... haijalishi upo chama gani..

inauma lakini ndio ukweli ukiacha kazi mwenyewe ( resignation) awamu hii lazima uwe na saving ya kutosha. usitegemee mafao sijui nssf, ppf, lapf,pspf huko kote hawacheki na mtu ni mwendo wa kutoswa tu hela zako

nimeattach wimbo wa komba ccm mbele kwa mbele kama dedication kwetu wote tunaoisoma namba bila kupenda

Umesoma namba ngapi yako nikutajie yangu
 
Vipi vyeti vyako vimekamilika? kwanini umeacha kazi? maswali ni mengi hapa
 
mie siiisome number kokote kwani nilishakuwa kuku wa kienyeji siku nyingi, nilijua mapama kuwa serikali hizi za siesiem kila kitu wanabahatisha, nikawa mjasiriamali, nauza kila kinachokuja mbele yangu.
Khaaaa! Unasema unauza nini? Ntakutafuta?
 
Vipi vyeti vyako vimekamilika? kwanini umeacha kazi? maswali ni mengi hapa
Suala hapa ni kuwa hakuna fao la kujitoa!Hii inakula kote kote,wafanyakazi ndio wamegeuzwa mbuzi wa kafara kwa kila namna!
 
Mi naogopa kesi ya kupika kwa kutumia kuni?
 
habari wadau.

hiii awamu niliishangilia sana wakati inaanza na hata kampeni nilikuwa upande wao. na nilimpigia kura tinga tinga aje aijenge nchi..

ila pamoja na yote nami naisoma namba kama mwana ccm na vyama vingine vyote wote tunanyooka

niliacha kazi mwez uliopita na nikaenda nssf kufungua madai wakaniambia nirudi leo.

leo nimeenda nssf kinondoni jibu nililopewa limenikatisha tamaa

nimekubali hii awamu tutaishi kama mashetani... haijalishi upo chama gani..

inauma lakini ndio ukweli ukiacha kazi mwenyewe ( resignation) awamu hii lazima uwe na saving ya kutosha. usitegemee mafao sijui nssf, ppf, lapf,pspf huko kote hawacheki na mtu ni mwendo wa kutoswa tu hela zako

nimeattach wimbo wa komba ccm mbele kwa mbele kama dedication kwetu wote tunaoisoma namba bila kupenda
Nssf huwa wanatoa mafao baada ya miezi 6, umeendaje leo?
 
hiyo miezi sita ni trela tu.. kuwafanya watu mrudi nyumbani.. leo meneja kanieleza ukweli kwamba hii kitu ya kujitoa ndio haitakuwepo tena..

wanatumia neno miezi sita ili uondoke tu kwa amani.. ila kabla miez sita haijaisha kuna bonge la sheria litatokea kati kati hapo...
 
habari wadau.

hiii awamu niliishangilia sana wakati inaanza na hata kampeni nilikuwa upande wao. na nilimpigia kura tinga tinga aje aijenge nchi..

ila pamoja na yote nami naisoma namba kama mwana ccm na vyama vingine vyote wote tunanyooka

niliacha kazi mwez uliopita na nikaenda nssf kufungua madai wakaniambia nirudi leo.

leo nimeenda nssf kinondoni jibu nililopewa limenikatisha tamaa

nimekubali hii awamu tutaishi kama mashetani... haijalishi upo chama gani..

inauma lakini ndio ukweli ukiacha kazi mwenyewe ( resignation) awamu hii lazima uwe na saving ya kutosha. usitegemee mafao sijui nssf, ppf, lapf,pspf huko kote hawacheki na mtu ni mwendo wa kutoswa tu hela zako

nimeattach wimbo wa komba ccm mbele kwa mbele kama dedication kwetu wote tunaoisoma namba bila kupenda
kamanda wenzake wanafuatilia mada yeye anapiga selfie...kuwarushia makamanda,akili za mbayuwayu..hizi.
upload_2016-9-15_12-32-52.png
 
habari wadau.

hiii awamu niliishangilia sana wakati inaanza na hata kampeni nilikuwa upande wao. na nilimpigia kura tinga tinga aje aijenge nchi..

ila pamoja na yote nami naisoma namba kama mwana ccm na vyama vingine vyote wote tunanyooka

niliacha kazi mwez uliopita na nikaenda nssf kufungua madai wakaniambia nirudi leo.

leo nimeenda nssf kinondoni jibu nililopewa limenikatisha tamaa

nimekubali hii awamu tutaishi kama mashetani... haijalishi upo chama gani..

inauma lakini ndio ukweli ukiacha kazi mwenyewe ( resignation) awamu hii lazima uwe na saving ya kutosha. usitegemee mafao sijui nssf, ppf, lapf,pspf huko kote hawacheki na mtu ni mwendo wa kutoswa tu hela zako

nimeattach wimbo wa komba ccm mbele kwa mbele kama dedication kwetu wote tunaoisoma namba bila kupenda
Huna haja ya kuisoma Namba ,nenda kaoshe miguu ya wanene wa ufipa utapata pesa
 
habari wadau.

hiii awamu niliishangilia sana wakati inaanza na hata kampeni nilikuwa upande wao. na nilimpigia kura tinga tinga aje aijenge nchi..

ila pamoja na yote nami naisoma namba kama mwana ccm na vyama vingine vyote wote tunanyooka

niliacha kazi mwez uliopita na nikaenda nssf kufungua madai wakaniambia nirudi leo.

leo nimeenda nssf kinondoni jibu nililopewa limenikatisha tamaa

nimekubali hii awamu tutaishi kama mashetani... haijalishi upo chama gani..

inauma lakini ndio ukweli ukiacha kazi mwenyewe ( resignation) awamu hii lazima uwe na saving ya kutosha. usitegemee mafao sijui nssf, ppf, lapf,pspf huko kote hawacheki na mtu ni mwendo wa kutoswa tu hela zako

nimeattach wimbo wa komba ccm mbele kwa mbele kama dedication kwetu wote tunaoisoma namba bila kupenda
Mpiga Dili wewe huna lolote. Ndio nyinyi mlikuwa mnakunywa supu kutwa nzima pale NBC Club. Leo hii mnaagiza supu moja na mnaomba michuzi ya supu kavu ili mshee na chapati mlizonunua kwa mama chamwenyi uswazi. Maana hata chapati za pale zinawashinda bei.
 
Back
Top Bottom