K kyanyangwe JF-Expert Member Joined Oct 31, 2018 Posts 1,504 Reaction score 4,353 May 31, 2025 #1 Kuna lishangazi huwa najipigia,sasa leo mwanae wa kwanza kajifungua mtoto wa kike. So nimeanza kuitwa babu kabla ya kuitwa baba as sina mtoto mpaka sasa.
Kuna lishangazi huwa najipigia,sasa leo mwanae wa kwanza kajifungua mtoto wa kike. So nimeanza kuitwa babu kabla ya kuitwa baba as sina mtoto mpaka sasa.
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 11,666 Reaction score 27,650 May 31, 2025 #2 Ndio tafsiri ya "dunia iko Kasi"
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 46,120 Reaction score 114,160 Jun 1, 2025 #3 Babu mjomba
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,966 Reaction score 26,183 Jun 1, 2025 #4 Hongera zako kwa kuruka stage
Buttler Jo JF-Expert Member Joined May 26, 2025 Posts 901 Reaction score 806 Jun 1, 2025 #5 Aisee! Hongera sana mkuu..
MickyTz Member Joined May 10, 2021 Posts 10 Reaction score 6 Jun 1, 2025 #6 kyanyangwe said: Kuna lishangazi huwa najipigia,sasa leo mwanae wa kwanza kajifungua mtoto wa kike. So nimeanza kuitwa babu kabla ya kuitwa baba as sina mtoto mpaka sasa. Click to expand... Hiyo kitaalamu inaitwaje
kyanyangwe said: Kuna lishangazi huwa najipigia,sasa leo mwanae wa kwanza kajifungua mtoto wa kike. So nimeanza kuitwa babu kabla ya kuitwa baba as sina mtoto mpaka sasa. Click to expand... Hiyo kitaalamu inaitwaje
TheChoji JF-Expert Member Joined Apr 14, 2009 Posts 6,733 Reaction score 20,768 Jun 1, 2025 #7 kyanyangwe said: Kuna lishangazi huwa najipigia,sasa leo mwanae wa kwanza kajifungua mtoto wa kike. So nimeanza kuitwa babu kabla ya kuitwa baba as sina mtoto mpaka sasa. Click to expand... Umetisha sana mwamba
kyanyangwe said: Kuna lishangazi huwa najipigia,sasa leo mwanae wa kwanza kajifungua mtoto wa kike. So nimeanza kuitwa babu kabla ya kuitwa baba as sina mtoto mpaka sasa. Click to expand... Umetisha sana mwamba