B Bob Malik Senior Member Joined Oct 1, 2019 Posts 125 Reaction score 419 Sep 2, 2022 #1 Msaada msaada msaada! Namsaidis kuapply chuo UDOM , Nimejikuta na submit kabla ya kurekebisha Nimeruka kipengele cha ku-attach docs... Application isha submitted. Ntafanyaje
Msaada msaada msaada! Namsaidis kuapply chuo UDOM , Nimejikuta na submit kabla ya kurekebisha Nimeruka kipengele cha ku-attach docs... Application isha submitted. Ntafanyaje
B Bob Malik Senior Member Joined Oct 1, 2019 Posts 125 Reaction score 419 Sep 2, 2022 Thread starter #3 Isolated said: Edit Click to expand... Sijaona option ya kuedit mkuuu...nielekeze naomba inapatikana wapi
Isolated said: Edit Click to expand... Sijaona option ya kuedit mkuuu...nielekeze naomba inapatikana wapi
zink JF-Expert Member Joined Sep 18, 2021 Posts 1,254 Reaction score 2,423 Sep 2, 2022 #4 Duh ngoja wajuvi wa mambo waje mkuu.
Masiya JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 7,602 Reaction score 7,344 Sep 2, 2022 #5 Bob Malik said: Msaada msaada msaada! Namsaidis kuapply chuo UDOM , Nimejikuta na submit kabla ya kurekebisha Nimeruka kipengele cha ku-attach docs... Application isha submitted. Ntafanyaje Click to expand... Makosa huwa yanatokea. Angalia kama kuna njia ya kufanya ili uweze ku-attach. Kama hakuna wapigie simu uongee nao wakuelekeze.
Bob Malik said: Msaada msaada msaada! Namsaidis kuapply chuo UDOM , Nimejikuta na submit kabla ya kurekebisha Nimeruka kipengele cha ku-attach docs... Application isha submitted. Ntafanyaje Click to expand... Makosa huwa yanatokea. Angalia kama kuna njia ya kufanya ili uweze ku-attach. Kama hakuna wapigie simu uongee nao wakuelekeze.
At Calvary JF-Expert Member Joined Aug 22, 2018 Posts 4,568 Reaction score 3,644 Sep 2, 2022 #6 Hakuna shida sio lazima kuattach. Ila siku ukirepoert chuoni make sure umeenda na hizo docs