daud magigo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 979
- 425
ndio basi baba ... secand round akunaga kuedit ,,,, ukiomba kwa bahati mbaya unapewamaskudi kabsa...!!
Andaa 30000. Dirisha LA uhamisho likifunguliwa unawahi. Pia huwa inachelewesha upatikanaji wa mkopo. Jiandae kuzielewa batch.mkuu tusubir transfer tu,mi mwenyewe yamenikuta kama yako
mkuu tusubir transfer tu,mi mwenyewe yamenikuta kama yako
ndio basi baba ... secand round akunaga kuedit ,,,, ukiomba kwa bahati mbaya unapewamaskudi kabsa...!!
Mimi nimesoma PCB nimemaliza mwaka huu,TCU application ya kwanza sikufanikiwa TCU wakanipa nafasi ya pili,kabla sijachagua nika select kwa bahati mbaya kozi ya business ambayo haikuwa chaguo langu.Najalibu kubadilisha nashindwa nifanye je?

Nenda remove selection, kwangu imekubal nimefurah kichizMimi nimesoma PCB nimemaliza mwaka huu,TCU application ya kwanza sikufanikiwa TCU wakanipa nafasi ya pili,kabla sijachagua nika select kwa bahati mbaya kozi ya business ambayo haikuwa chaguo langu.Najalibu kubadilisha nashindwa nifanye je?
Nenda remove selection, kwangu imekubal nimefurah kichiz
Umechagua kozi na chuo kipi mkuu
nishafanikisha mkuuAndaa 30000. Dirisha LA uhamisho likifunguliwa unawahi. Pia huwa inachelewesha upatikanaji wa mkopo. Jiandae kuzielewa batch.
Nimechagua st.joseph ya dar. education
Umechagua kozi na chuo kipi mkuu