Nimekosa usingizi

Qualifier

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Posts
1,252
Reaction score
408
Jamani mazoea yanatabu, ni kawaida yangu kusafiri kikazi lakini safari huwa sio za kukaa muda mrefu kiasi hiki. Leo ninasiku ya nane nipo hapa Moro usingizi umegoma kabisa ninahisi kama nimekosa mahitaji muhimu, kuchepuka sina tabia hiyo nimeplay Musiki kwenye laptop imeisha na sasa ninarudia sipati picha asubuhi itakuwaje nahisi kichwa kizito na kazi bado sijamaliza alimradi full kuboreka.
 
Nadhani mimi ndiye nimekosa usingizi, nasubiri kupambazuke.
 
Wiki nzima hujalala?

Aisee ukifikisha tatu utakuwa umequalify kuwa mwanajeshi...!

Three weeks without sleeping...!

Actually, ukitaka ulale, jifanye mlinzi wa shift ya usiku, usingizi utakuja wenyewe from nowhere..!
 
Moro amani sana, ukimaliza kazi zako tu pumzika kidogo then anza kutembelea maeneo mbalimbali kiutalii zaidi na mazoezi ya viungo. Jichanganye na watu wa huko wake kwa waume ujifunze mapya, badili vyakula na matunda mbalimbali. Usiwahi kupanda kitandani, rudi chumbani ukiwa umechoka tena usiku wa kama saa 4 kasoro hivi ila ushakula na kunywa vizuri. Weka playlist ya mziki lainii then panda kitandani, hutoutafuta usingizi
 

Pata Kitu cha Uruguay Kaka Utalala Vizuri tu na Utaamka Umechangamka. Kule Imekuwa Legalized hapa Kwetu Bongo Tunatumia Kwa Kuibiaibia tu ila Kitu cha Uruguay Ndiyo Mpango Mzima.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…