Tetra inategemea wewe mwenye kutumia iyo brain unaitumiaje. siku zote ukiiwazisha akili yako negativity nayo itakupeleka huk huko na hutaona positivi hata siku moja.
ogopa sana kuish kwa mtazamo hasi, ukiona eti maisha hadi 40 ndo nitapata wa kufaa basi akili itakuelekeza huko huko sasa kwenye kupata wa kufaa ama wa kutofaa ndipo mtihan mwingine.
ninachoamini ni hiki hapa kwamba mm kama mwanamke ninaweza kuitengeneza ndoa yangu jinsi nitakavyo na hata kama nitahubiriwa vp na maisha ushuhuda wa kushindwa bado pia ninaweza kuushinda. nikifanyacho mm ni kujisubject kama chachu ya mabadiliko na kisha kutaka kubadilika.