Nimekosa msichana kisa ndevu

Mimi mwenyewe nafuga ndevu kama urembo,Mkuu zako zilikuwa kama za hawa black brothers
 
...nyoa!!! Ila wewe kaka komedi unaweza
 
Hapana mkuu ila si unajua tena ujana wendawazimu, nimeweka madevu na imeshakuwa mazoea kwangu yaani hata nikienda saloon jamaa akizigusa tunagombana.
Mi nahisi alijiuliza hivi "kama kidevu kiko ivi je kule maeneo si ndo adi pananuka?? Na je ikitokea kwene msuguano si ntabaki nauguza majeraha ya kuchanwa na steel wire??"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…