Za leo wakuu!
Nina mschana ambaye tunapendana kwa dhati sana, ananipenda na ninampenda ila bado hatujatambulishana kwa wazaz......na tunamahusiano huu mwaka wa tatu. Lkn tatizo ni kwamba! Huyu mschana kabla hajakutana na mimi aliwahi kua na relationship kama tatu hiv. Amenielezea zote bila kuficha, mm nikamwambia sina shida na hilo. Sasa hao wanaume wanamsumbua sana na wanataka wamrudie, huyu mschana amegoma lkn wanamsumbua na wanamwambia hawatamuacha mpaka mwisho. Mm namshauri awapotezee lkn hao wanaume wanamngangania kila mmoja kwa mda wake. Nimekosa lakufanya. Nimeongea na hao wanaume lkn hawanielewi