Nimepatikana aiseeh,
mapenzi ni upumbavu tu 💔❤️🩹, 2025 uwe mwaka wa mwisho wa mambo ya kupendana.
Kama ni lazima sana, basi tubaki na ngono tu kwa ajili ya kuzaliana ila mahusiano yasiwepo.
- Mapenzi ni ujinga
- Mapenzi ni mateso
- Mapenzi ni maumivu
- Mapenzi ni utapeli
- Mapenzi ni uhayawani
- Mapenzi ni ushen*i
- Mapenzi ni ufal*a
Mapenzi ni …………… Endeleza lako.