Nimekoma kuzini hovyo

Jstar1

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
1,392
Reaction score
1,418
Kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu aliyenipa nguvu ya kujimwambafy na kuandika hapa.

Takribani siku 3, nilikuwa najiskia homa kidogo kama uchovu, basi ndipo nlipochukua hatua ya kwenda hospitali ila cha ajabu, homa kwa mbali waga inakuja mchana japo saivi imeacha.

Asubuhi nafika hospitali sikuwa na homa hata kidogo, ila kwasababu ni free service ikabidi niwasumbue kidogo, nikapima damu na mkojo, mkojo wenyewe mweupee, na damu nikachukuliwa.

Baada ya muda majibu yakaja sina malaria nikapewa panadol, ambazo hata sasa hivi ukisema nkuoneshe panadol moja sina, zimepoteapotea. Ikabdi nijututumue kidume nikapime HIV.

Ile namwambia muhudumu anipime, mara akaniuliza unaishi wapi, miaka, na nani uanataka umshrikishe majibu. Hili swali liliniyumbisha, nkwambia kaushia nitapima mtaani, akanishawishi na kinisihi nipime, nkakubali, nkachukuliwa damu, nkarudia majibu kwa daktari, Ewaaaaaaaaaaaaaahh...

Sina UKIMWI wala nini. Nadhani ndiyo itakuwa mara ya kwanza na ya mwisho kupima kwa hiari, labda itokee emergency. Yule daktari alikuwa wa kike; basi katabasamu, tukapga story mbili tatu. Sasa hivi kuna mdada ambaye natamani kutulia naye. Na sasa hivi nakoma kusex hovyo, na chaputa siko. Mimi ni mvivu wa kutumia kondom hivyo nimeamua nitulie maana ndiyo kwanza naanza maisha.

Wale mabaharia wa nchi kavu, kazi njema. Kijana mwenzenu kula watoto lazima ila ntapunguza, na sasa hivi nina mpenzi mmoja ambaye karibia tunakubaliana kuwa wote ila siyo kuishi wote. Nampenda sana. aggy
 
We jidanganye tu wenzio tushapima zaidi ya mala 10
Ukikoswa koswa unatoka hapo unajiapiza ooo sirudiii tena haya sasa siku unakuja mzigo geto unasahau kabisa kama ulisema hurudii
Pafu ya kwanza unatumia ndomu ukienda ya pili unasugua wazungu hawatoki pambana pambana na wewe
Ukivua tu ile unaingiza wazungu hao 😂😂😂
 

Dah Hii Tabia Nshaifanyaga Afu Nilijilaumu Sanaa🤣🤣🤣 Ila Kuna Kale KaHope Eti Si Poua Tuu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Pima kama unalengo la kwenda majuu tu...vinhinevyo utapata gonjwa la moyo bure...
na nakushauri jiunge chaputa Hutopata waswas kama huo
 
Dereva Mzuri ni yule anaye kwepa Torch ii kila mara " too young to Die" usirudie tena hiyo michezo
 
Nakukumbusha tu,
Kuna watu walishatangulia kwa ajili ya uaminifu wao tu.

Mtulize huyo Aggy na aendane na fikra zako. Lasivyo ukikutana na ulichokikwepa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…