Nimekoma kuvamia vamia.

Nilikuwa na panga pamoja na kisu lakini hajavichukua
 
Vipi bastola na bunduki amechukua?maana najua kule Somalia lazima vitu hivi uwe navyo kujilinda na maharamia!!
 
ungana na mwenzako naibu waziri wa madini mfuateni kanumba awaandikie script mtoe movie..
 
Hahaha pole bulaza namuagiza kijana wangu anaitwa Juma anakuja na msuli mmoja na tshirts mbili moja imeandikwa mpe ndugu mwinyi kura ya ndio nyingine ya matembezi ya mshikamano, lakini hata ukivaa zote bado mgongo upo nje lakini sio mbaya mazee zitakustiri.
 

Asante buraza
 
mie niliipenda
script ambayo hata script writer haielewi
afu wezi wapitie dirishani
gorofa ya 9

ungana na mwenzako naibu waziri wa madini mfuateni kanumba awaandikie script mtoe movie..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…