Nimekoma kuvamia vamia.

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
11,556
7,085
Aisee MADEMU WENGINE SIO WA
KUPARAMIA JAMANI LEO NIMEKOMA.

Na sitarudia tena ujinga huu, sasa
demu mwenyewe cmjui nimemchukua
njiani tu kwa tamaa tukaenda guest,
tumekaa kanichekelea weeee,
kanifanyia massage ya mgongo
weeeee ......1 Kidume nikaishiwa nguvu sasa
nilpotaka niende uani haja ndogo ili
nije TUMALIZANE nae cjamkuta, na
cjakuta vitu vyangu kama
1.ATM CARD ZANGU
2. VISA YANGU YAKWENDEA SOMALIA MASOMONI
3.PETE ZANGU ZA DHAHABU NA ALMASI
4.JEANS ZANGU MBILI ZA ZEEZLE
5.KIBARAGASHIA
6.VITABU VYANGU VYA CHUONI
SOMALIA 7.TU-HELA TWANGU TOTE KAMA TU DOLA KADHAA.
Hapa niko nimejifunga taulo la guest
kiunon na kifua kiko wazi, Wasamaria
jamani njooni mnitoe lol!
Lol jamani wanawake hawa... Njooni na waandishi wa habari.
 
W ulikuwa unataka kwenda SOMALIA kusoma au kufanya uharamia! Lkn poa upo kwa wap tuje kukusaidia.
 
Aisee MADEMU WENGINE SIO WA
KUPARAMIA JAMANI LEO NIMEKOMA.

Na sitarudia tena ujinga huu, sasa
demu mwenyewe cmjui nimemchukua
njiani tu kwa tamaa tukaenda guest,
tumekaa kanichekelea weeee,
kanifanyia massage ya mgongo
weeeee ......1 Kidume nikaishiwa nguvu sasa
nilpotaka niende uani haja ndogo ili
nije TUMALIZANE nae cjamkuta, na
cjakuta vitu vyangu kama
1.ATM CARD ZANGU
2. VISA YANGU YAKWENDEA SOMALIA MASOMONI
3.PETE ZANGU ZA DHAHABU NA ALMASI
4.JEANS ZANGU MBILI ZA ZEEZLE
5.KIBARAGASHIA
6.VITABU VYANGU VYA CHUONI
SOMALIA 7.TU-HELA TWANGU TOTE KAMA TU DOLA KADHAA.
Hapa niko nimejifunga taulo la guest
kiunon na kifua kiko wazi, Wasamaria
jamani njooni mnitoe lol!
Lol jamani wanawake hawa... Njooni na waandishi wa habari.

Kweli huna cha kufanya mpaka umeamua kuleta uongo na ***** humu uriokuwa na maana
 
Aaaaaaahhhhh mbavu sina wala msaaada sina .......naongeza beer ya pili ...ukitoka kribu
 
Aisee MADEMU WENGINE SIO WA
KUPARAMIA JAMANI LEO NIMEKOMA.

Na sitarudia tena ujinga huu, sasa
demu mwenyewe cmjui nimemchukua
njiani tu kwa tamaa tukaenda guest,
tumekaa kanichekelea weeee,
kanifanyia massage ya mgongo
weeeee ......1 Kidume nikaishiwa nguvu sasa
nilpotaka niende uani haja ndogo ili
nije TUMALIZANE nae cjamkuta, na
cjakuta vitu vyangu kama
1.ATM CARD ZANGU
2. VISA YANGU YAKWENDEA SOMALIA MASOMONI
3.PETE ZANGU ZA DHAHABU NA ALMASI
4.JEANS ZANGU MBILI ZA ZEEZLE
5.KIBARAGASHIA
6.VITABU VYANGU VYA CHUONI
SOMALIA 7.TU-HELA TWANGU TOTE KAMA TU DOLA KADHAA.
Hapa niko nimejifunga taulo la guest
kiunon na kifua kiko wazi, Wasamaria
jamani njooni mnitoe lol!
Lol jamani wanawake hawa... Njooni na waandishi wa habari.

Kakuachia Blackbery yako tu!
 
Back
Top Bottom