nimekoma kutongoza jf!

Nikisemaga Asprin anazeeka vibaya unakataa ona sasa amenichanganya sijui na njemba gani la humu jf.....ntajitoa kama Husninyo mimi!
ukijitoa jf na bishanga anajitoa.
Halafu nikwambie kitu SL humu jf nahisi kuna mtu ana kaharufu ka Ashadii with another ID,Mungu anisamehe kama hisia zangu haziko sahihi.
Embu mwite Ashadii aje asome hii post.
 
Last edited by a moderator:
:biggrin1: na we ukome kutongoza kila demu...hivi nipe tactic unafanyaje kuwakamata totoz za humu
 
Afu we HYGEIA sheria za jf si zinakataza wazee kuitana baby? Erotica ni baby?
sweetlady, kwa taarifa yako Erotica ni my love wangu pia my sweet baby. Niko naye leo siku ya nne tunalea mapacha walio tumboni bado. Na nimempachika jina jingine.Namwita Leyla. So Erotica nowadays is called Leyla.
 
Last edited by a moderator:

looooooooo!!!!!!!!!!we Bishanga hojakoma tu na ulivyosutwa kipindi kileeee.bado una hamu ya kuwekwa kati tena eeeh,binafsi natamani sana kupata hiyo nafasi maana msuto wa kwanza ndo kwanza nilikuwa jamvini naingia so nafasi kama hiyo ikijitokeza tena sintoilazia damu yakkhhhhhheeeeeee..........
 
Last edited by a moderator:
Dah hizi ID's zisizoeleweka waweza kutongozana na mkeo au mumeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…