Nimekoma kushika simu ya mke wangu

Pole Sana ndugu najua kwa Sasa uko katika hali ngumu Sana lakni jikaze kiume najua inauma Tena Sana lakini hamna namna Kama ni kweli ishatokea imetokea kaa naye chini muulize akupe majbu yanayoeleweka na yenye uzito usikubali majbu mepesi mepesi . Ukishapata uhakika Ni kweli kafanya hicho kitendo njoo ntakuambia cha kufanya.
 
Santee,,watu wanachukulia kawaida kawaida tu kwenye mambo ya msingi mke anauma jamn
 

Mke ni tofauti na hawara!! Kama ni mke halali wa ndoa, huwa nipo tofauti na wengi humu!! Nina haki ya kushika simu yake coz ndugu zangu ni ndugu zake, marafiki wangu ni marafiki wake, biashara zangu ni biashara zake, uchi wangu ni uchi wake and vice versa!!! Ana kipi cha kunificha au nina kipi cha kumficha??

Achana na wanaopiga story za mahawara humu kuwa simu hawagusi, kwangu hilo si sahihi kwa factors nilizotaja hapo juu!!

Katika ndoa una haki ya kuhakikisha unamlinda mwenzio kiusalama na kimapenzi!! Simu kwa sasa ni sehemu ya kwanza ya kukupa picha ya mwenendo wa mwenzio ampapo kimsingi ni haki yako kujua kwa 100%. Kama ambavyo umejua sasa.

Huyo mpe adhabu yaishe (msameheane) ama uamue unapiga chini mazima kuendana na ukubwa wa tatizo ulivyoliona.

Kama unaona anarekebishika better muendelee na maisha huyo ni mkeo kumbuka. Humu JF watu wanarahisisha sana maamuzi ya ndoa kama maamuzi ya mahawara, wengi naamini wanaharibu sana. Ndoa ina uzito wake mkuu.

Watakwambia kirahisi tu mpige chini huyo lakini kumbuka familia mliyounda especially watoto wenu, familia mlizounganisha, mali mlizochuma, bond mliyoijenga, umri mlionao na malengo mliojiwekea na n.k.

Mapenzi ya siku hizi ni haya haya, huyo kachepuka lakini anakuheshimu, sasa utamuacha uoe mwingine anachepuka na dharau juu!! Fikiria kurekebisha kama hakuwahi kukuzingua kabla hujaona kwenye simu!!

Mweke chini ya uangalizi maalum na adhabu yake iwe kutokumuamini!! Kila ukirudi mkapime ngoma ndiyo mpige mzigo hata kama umekaa wiki!! Kwa mwanamke atakereka ataacha nakwambia!!

All in all maamuzi ya mwisho ni yako, sisi tunashauri kwa kusoma ya upande mmoja tu!! Pengine kudanga kwake kunatokana na wewe 😆😆😆

Pole sana mkuu, kua uyaone ulidhani utaona maghorofa mkuu?? 😆😆😆😆
 
Mpz/mchumba wangu, kuna siku aliniambia wewe(mimi) una wivu sana, sasa ukishika simu yangu si utaipasua kwa wivu... niliwaza ile kauli nikaona hapa nipotezee tu maana ningeanza kuchimbua sababu ya kuambiwa hivyo nahisi mahusiano yangeishia hapo... ila kwa kifupi aliniambia "si unajua wasubufu ni wengi na wanatumia sim..
 
Santee mkuu
 
Daa maneno mazuri nmeyapokea kwa mikono yote miwili nashukuru sana mkuu
 
Bora upotezee mm nliyoyaona n mazito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…