Brightman Jr
JF-Expert Member
- Mar 22, 2009
- 1,224
- 236
Wakuu na wadau wa mawasiliano hii kitu imeniumiza sana. Nimenunua bando (MB) nyingi toka airtel nikitarajia kutumia bando hizo muda wa mwezi mmoja lakini cha ajabu na cha kushangaza nikatumiwa sms kuwa bando hizo zitumike wiki moja; na mie najua bando hizo hazitaisha kwa muda huo. Nimekatishwa tamaa ya mimi kuendelea katika mtandao huu. Naomba ushauri nihamie mtandao upi wenye unafuu kwa upande wa gharama za internet. Nawasilisha....!