Yaani mwenye sifa zote ulizomwaga hapo ni mtu unayekiri kuwa haumfahamu! Naomba basi unielekeze kitabu kinachomuhusu kinaitwaje ili na mimi nimfahamu kupitia historia yake!
CCM bwaaaaaana LOWASA tu ndio fisadi kwao hapa tu ndio uwa nashindwa kuwaamini kabisa na sitaweza kuja kupiga kura kwa mtu yoyote wa CCM wala sitaweza kuja kujitolea kwa kitu chochote kwa CCM mana ntakuwa nafanya unafiki na mimi sio mnafiki majizi yamejaaa uko kama yule wa bariadi, wale wa ESCROW, chenji ya radar, nyumba za serikali, lugumi at least wangekuwa wanayataja na mengine kama wanavyomtaja LOWASA ningekuwa na imani ila wao fisadi lowasa wakati kuna wakina lowasa umo na zaidi ya lowasa kibao.
Mkuu wala usiumize kichwa na haka kapopompo, kanajulikana mambo yake ndivyo kalivyo. Yani hapo ndo kako kwenye ubora wake.nasikitika kuona mbunge mzima una akili kama ya mtoto wa chekechea.
Sasa wewe mwenyewe umeshasema humjui vizuri alafu unammwagia sifa kibao na kumwamini kabisa ukksema hatakuangusha.
Hii imekaaje sasa
This article should be satire.
The irony,eti CCM wanatoa vijana jeuri na wakuquestion the government.All they know to do ni kusema "ndio mzee".
Halafu eti ni University graduate. Shame on her. Shame on you Juliana Shonza."humfahamu" lakini hatokuangusha na unampongeza sana?! Juliana tulia tu maana kila ukisema unaharibu na kuonesha jinsi ulivyo
Kumfananisha Juliana Shonza na mtoto wa chekechea ni kumpandisha hadhi. She does not deserve it cause she is not worth it.nasikitika kuona mbunge mzima una akili kama ya mtoto wa chekechea.
Sasa wewe mwenyewe umeshasema humjui vizuri alafu unammwagia sifa kibao na kumwamini kabisa ukksema hatakuangusha.
Hii imekaaje sasa
This article should be satire.
The irony,eti CCM wanatoa vijana jeuri na wakuquestion the government.All they know to do ni kusema "ndio mzee".
Mtoa Uzi yaani bila hata aibu unaongea uongoThis article should be satire.
The irony,eti CCM wanatoa vijana jeuri na wakuquestion the government.All they know to do ni kusema "ndio mzee".