Nimekata tamaa na CHADEMA!

Chadema kwa sasa imekua kama Chui wa karatasi hatishi au kama Simba wa Plastic hang'ati!!
 
Siasa za matusi zimechosha vijana wanahitaji kujengwa kimaadil na sio kudidimizwa na sasa hawako tial tena kutumika kwa maslah binafsi.
 
true 100% wote wezi tu!!
mM
ndo maana naamia jukwaa la picha na udaku

mkuu Tatizo lako wewe unapenda sanaaa! ndio Maana inashauriwa kwamba hata mkeo usimpende ile ya hausikii wala huoni.unatakiwa uache kiasi cha kuruhusu akili kufanya kazi.
 

View Profile: Vox Populi Vox Dei
User Name: Vox Populi Vox Dei
User Title: Member
Last Activity: 17th March 2014 23:18
 

Mkuu kulalamika haitatusaidia sana na haitakuwa vema kuona ustawi wa CDM utaletwa na wengine bila kufikiria hata wewe ni ni sehemu ya ustawi huo.

Umewahi kujiuliza hata siku moja imefanyia nini CDM hata ngazi ya Tawi kuleta mabadiliko.

Ifikie wakati tusilalamike tu, Kweli huenda matokeo ya hizi changuzi ni kipimo cha kuona ustawi wa CDM lakini jiulize wewe binafsi umeshirikije kuchangia hata hayo matokeo madogo yasiyoridgisha?

Tatizo la iujana wengi tuliopo CDM expetations zetu ni kubwa sana halafu hatuinvest zaidi ya kukaa kwenye pc zetu kwa kufarijiana na kusimangana bilavkwenda huko field tuone na wenzetu wanvyopambana huenda tukapunguza kulalama kwenye mitandao.
 
Cc wenyewe vijana do 2takao kijenga ama kukibomoa....me napenda mabadiliko,na siasa inayoelewek na ya kwel pia..
 
Jamani mimi nauliza tu, hivi zile ahadi za mheshimiwa 'ametelekeza' na 'ametekeleza' ngapi???Zile alizojinadi nazo mwaka 2010??

Kajenga barabara tu ,kwenye elimu zero zmekuwa kawaida,kakwapua hela BOT,na kawafcha wauza madawa ya kulevya na pembe za ndovu hivyo ndo v2 alivyo fanya
 
Umechoka na chadema? simpo tu,
anzisha chama chako au nenda act na ccm
 

Sijaelewa huu wimbo wa miaka 50 sijui 52 tokea uhuru bado kuna matatizo hay hay na yale, mbona hamtaji na mafanikio yaliyopatikana kwa kipindi choote hicho??

Afu jambo jingine, tusiwe tunakaririshwa eti tokea uhuru hakuna hiki na kile na kile.. sio vibaya kuonesha wapi kuna mapungufu ila jaribu kujiongeza wakati wa uhuru ni njia gani serikali ilitumiakiutawala na mfumo wa kiuchumi?? Hali ya wananchi ilikuwaje? weledi na uelewa wa watu ulikuaje? na mifumo ya elimu na wanataaluma walikuwa wangapi? tokea uhuru mpaka sasa ni miaka 53 sawa.. lakini hali ilikuaje??

wewe na wengine wenye kibwagizo kama hichi mtanisaidia kujibu hili swali..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…