mr mkiki JF-Expert Member Joined Sep 22, 2016 Posts 5,723 Reaction score 11,934 Nov 17, 2025 #1 Mjadala wowote unaohusu kupambanisha dini kwenye masuala mapana ya kitaifa haupaswi kuungwa mkono kwa namna yoyote ile. Nimejiuliza sana hivi hizi Taasisi kukanusha Habari zenye Ukweli kuwa ni Uongo ni kwa faida au kumlinda nani..? Tuwe makini kuna ajenda ya udini inasikumwa ku divide and Rule.
Mjadala wowote unaohusu kupambanisha dini kwenye masuala mapana ya kitaifa haupaswi kuungwa mkono kwa namna yoyote ile. Nimejiuliza sana hivi hizi Taasisi kukanusha Habari zenye Ukweli kuwa ni Uongo ni kwa faida au kumlinda nani..? Tuwe makini kuna ajenda ya udini inasikumwa ku divide and Rule.
N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 14,379 Reaction score 19,120 Nov 17, 2025 #2 Kumejaa majambazi ya rasilimali zetu.
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,453 Reaction score 108,541 Nov 17, 2025 #3 Tulifeli, kwenye sysya uongozi wamejaa waroho wa mali na mabichwa maji
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,550 Reaction score 40,747 Nov 17, 2025 #4 Kuna Mtandao wa kipuuzi sana Tanzania, na utamu wa keki ya Taifa umewanogea, na hawataki kuona wengine wakiifaidi,wanasema bora tukose wote!
Kuna Mtandao wa kipuuzi sana Tanzania, na utamu wa keki ya Taifa umewanogea, na hawataki kuona wengine wakiifaidi,wanasema bora tukose wote!